Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Bongo fleva, Singeli inachangia ubajaji, ushoga?


  • Total voters
    47
  • Poll closed .
Daktari kaambiwa mtoto anaumwa tumbo.amchunguze sehemu za Siri anatafuta Nini?na mtoto alikuwa anaficha.
Na hospitali kapelekwa mara 5 nyakati tofauti, Daktari Hana muda wa kumchunguza mtoto, wanatoa dawa tu.
 
Huyo dereva na konda mpaka hapo wameshakula Mvua.
tayari wameshtakiwa na kuhukumiwa na umma.
Mahakama itahitimisha tu.
 
umeyaona maumbile yao?katika vitu amavyo sitaki kumuwekea mtu dhamana ni ushoga na ubakaji.mtu yeyote anaweza kufanya.
Wasingiziwe ili iweje?
Mtoto abakwe na wanaume wawili
Atembee tu vizurii kabisa bika shida na wasigundue
 
Majukumu ya mume ni kutafuta pesa kuitunza familia, thus wanaume uondoka alfajiri urudi usiku au mawiki au KILA mwezi nyumbani,majukumu wa mke ni kuratibu yote yahusuyo familia, kuanzia mpangilio wa chakula, ibada, elimu, mavazi, maadili, nk SAsa wanawake wameacha wajibu wao wamewaachia madada na madada na wenyewe ni wapitaji leo huyu kesho huyu na kila mmoja na tabia zake na maadili yake.
 
Lakin hizi school buses vipi km dereva akawa mwanamke na badala ya anko akawepo aunt?!
 
Daktari kaambiwa mtoto anaumwa tumbo.amchunguze sehemu za Siri anatafuta Nini?na mtoto alikuwa anaficha.
Shida madaktari wetu hawana mda wa kukaa mda mrefu kumsikiliza mgonjwa labda uwe na pesa.
KWA daktari makini abakishi kitu
 
Daktari kaambiwa mtoto anaumwa tumbo.amchunguze sehemu za Siri anatafuta Nini?na mtoto alikuwa anaficha.
wewe ukipeleka gari gereji halina spidi fundi si anaweza angalia matairi, engine, propeller na vingine wewe unampangaiaga fundi?
 
Skull bus ni eneo lingine la ushenzi kabisa. Napendekeza kila skul bus liwe na camera ama kuwe na mhudumu wa kike pia kila wakati.
1669965287764.png
 
Wakati mwingine inategemea na mwenekano wa mtoto!unakuta litoto lina miaka 8 au kumi lakini kulingana na mivyakula anayokula anaonekana kama mtu mzima wa miaka 35,hii nayo nadhani inachangia matamanio kimaunekano
Hii comment yako haina akili
 
Hata kama huyo mtoto watu wawili wamfanyie hivyo si anakufa
kwahiyo umeambiwa watoto wa miaka 6 wanao bakwaga huko kanda ya ziwa huwa wanakufa?
Ushawahi ona mtoto amekufa kwasababu hiyo?
umeskia wanaingiza kwanguvu?
unajua kwamba wanatumia mafuta ya ky?
wewe kama huwa unapigwa bila maandalizi ama hupakwi mafuta lamza usikie maumivu
 
Miaka 6 afu wanaume wawili tena kwa zamu??? Huo ni uongo manina zao wanaotaka kuichafu Bright school
Wewe ni anko wa Bright School? Ichafuliwe kwa maajabu iliyonayo?
 
Daktari kaambiwa mtoto anaumwa tumbo.amchunguze sehemu za Siri anatafuta Nini?na mtoto alikuwa anaficha.
Ninachojua vipimo vya tumbo hospitali vinahitaji eidha mkojo au choo kikubwa kwa umri wa mtoto sio rahisi aende akavilete yeye bila msaada wa aliyempeleka hospitali. Kwahiyo mama yake bado hakuona shida yoyote let say nyumbani mtoto anaogeshwa na house girl. Je hospitali mama hakuona mabadiliko ya maumbile ya mtoto wanapochukua sample ya vipimo??

Mimi ni mama na nina binti mdogo ila kwa hili achana na watuhumiwa mimi namlaumu sana mzazi mama yake. Sawa yupo busy week nzima je jumapili anashindwa kuitumia kwa familia yake akajua ABC's??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wahuni wahasiwe, wakatwe dyudyu zao bila ganzi, wanyonyolewe vinyweleo vyao kwa pryse, wakatwe kiungo kimoja kimoja hadi wafe.. Bladifaken kabisa
 
Back
Top Bottom