Hata mimi mkuu sijawahi kumwazia mwanangu mabaya ila jinsi dunia ilivyoharibika inabidi kujifunza kutokana na matukio. Ndio maana nimesema wazazi inabidi tuwe tunawakagua watoto sio kwa ubaya ila for their safety.
Ukiachana na shuleni pia mtaani wanakocheza, kuna baba mmoja alilawiti katoto kadogo ka jirani yake kalienda kucheza na mwanae.
Pia kujenga urafiki na mtoto toka akiwa mdogo akueleze siku yake ilivyokuwa katika storiz itakusaidia kujua tofauti kama siku akifanyiwa ukatili akaogopa kukwambia. Protector kwa kwanza wa mtoto ni mzazi wake
Sent using
Jamii Forums mobile app