Dereva Huyu mmhhh!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva Huyu mmhhh!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kobonde, May 29, 2011.

 1. kobonde

  kobonde Senior Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nna swali hivi inakuwaje mtu una warm gari kwa dk 35 halafu unaendesha dk 7 na safari inaishia hapo. Hivi kweli hapa tutakuwa tumelitendea haki gari?
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhhhh
  Je ulifanyia full service
  na ilikuwa na mafuta ya kutosha..
  na je ni winter au summer?
  hata hivyo 35 na 7 mmhh hapana
  lakini kuna nyingine 40 kwa 5 ....balaa
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nafikiri dereva anajua udhaifu wa uendeshaji wake ndio maana anali warm up kwa mda mrefu ili akianza kwa speed 240 tayari kafika kilimanjaro kwa dk 7
   
 4. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  huyo hajui afanyalo. ukiwasha gari weka gia ondoka ila usiondoke na mwendo mkari sana. moja ya tips za kubana matumizi ya mafuta. kwa magari makubwa ni tofauti kwa kuwa yanatumia upepo na comressor inazungushwa na engine na hivzo kama mifumo ya upepo ya gari lako imechoka ukizima umeme unavuja na kukulazimu kuliwasha na kuliacha kwa muda ili upepo ujae ndo uondoke tena.
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...inategemea na unapokwenda.

  kama njia haina road blocks, Speed limit wala diversions,...utajichelewesha na nini? ...moto bati, spidi 120 hata kwenye kona!....hakuna cha speed governor hapo!...ila ni bora kwa safari hizo ukishafika, unaiacha kwenye silence kusubiria abiria ashuke!
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ndoo maana nachukia via simu
  nilikuwa naukosa huu utamu mmhh

  "...There's something I want to tell you
  There's something I think that you should know
  It's not that I shouldn't really love you
  Let's take it slow
  When we get to know each other
  And we're both feeling much stronger
  Then let's try to talk it over
  Let's wait awhile!"... [​IMG][​IMG]

  very nice
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...umeupenda? ha ha, ...it's a dedication to my soulmate.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  dahhh
  she is the luckiest women in the world...
  .......absolutely beautiful......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Ndiyo taabu ya magari yaliyotumika sana ...wakati mwingine for the sake of the passenger naona bora dk 35 za kuwarm plus saba za kuendesha zianze kwa pamoja...kibongo bongo wengi hawajali kuchelewa ilimradi wote mmefika
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hiyo poa tu mradi ishakuwa warmed
   
 11. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  :Huyo dereva hafai na hasipojirekebisha wenzake watamsaidia kuipigia masafa marefu halafu aishie kujipiga risasi bure.
  Ushauri wangu ni warm up dkk 5 then jaramba dkk 40, hapo hata gari litaongea siku hiyo kukupa thanx
   
 12. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  hasara !!
   
 13. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mmmh hizo gari za ku-warm dakika 35 nafikiri zitakuwa ni dizaini ya 'pijo' zile za zamani maana ilikuwa inabidi uzi-warm mpaka uone exhaust pipe inatoa maji ndo unaanza safari,hizi gari za karne hii ni very sophisticated,huhitaji kui-warm,unawasha gari safari inaanza
   
 14. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ndiyo maana mnaambiwa mkachukue madereva NIT.
   
 15. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Mmmhhhh, mimi simo!
   
 16. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hawa wandugu wanaleta habari za madereva wa mwembeni humu si kila anayeweza kubadilisha gia ni dereva udereva hauangaliwi usoni.... chukueni madereva wenye ujuzi na kuipenda kazi yao!!!
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Huyo dereva hana leseni inaelekea ni deiwaka tuuu, wenye leseni kabla ya kuwarm kwanza tunacheki tairi kwanza zina presha ya kutosha? tunafungua boneti tunacheki maji kwenye rejeta yapo ya kutosha? tunapima oil ipo? baada ya hapo saasa unaelekea ndani ya gari taraaatibuu unawasha kuli warm unasikiliza mlio ni wa kawaida? baadaye unakanyaga krachi yako kuona gia inaingia sawasawa unasikilizia kama kuna miguno isiyo ya kawaida au mlio ni wenye kushangilia zoezi zima then unaweka gia namba moja huku ukisilizia nguvu ya engine ikilisukuma gari mbele kwa madaha na wewe unatathmini jinsi ya kuongeza mwendo pale unapoona engine inakubali/inajibu mapigo ya pistone, ukiona inakubali unaongeza kukanyaga crachi huku ukiingiza gia namba mbili na mlio wa gari utausikia ukibadirika ukipanda juu zaidi, speed nayo inaongezeka. kama barabara ni nyoofu gia namba tatu inahitajika hapo utaona mlio unakuwa constant lkn speed baba si mchezo mara utasikia nashuka nashuka! hapo utajua sasa safari imefikia mwisho, unashika breki na kupangua gia zako gari liko hoooooooooooooi. i wish ningekuwa dereva wako uone quelified dereva!
   
 18. kobonde

  kobonde Senior Member

  #18
  May 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmh we hatari
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ..Lk salama, usipande gari dereva akakukera ati!! akushushe kwenye kituo ambacho si chako, ama akushushe kabla ya kituo chako, au akupitilize mbali kituo cha mbali zote ni kero tupu.
   
 20. kobonde

  kobonde Senior Member

  #20
  May 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii pia mpya basi tu dereva anajifanya mjuaji tena anajisifia Kama madereva wachache sana wanao warm gari kwa muda mrefu.
   
Loading...