Sio kweli, watu wengi wamekosa hamasa na hivyo vilabu baada ya watanzania wengi Oktoba 29 kugundua kwamba vinatumika kuwapumbaza wasitambue na kufuatilia maovu ya ccm na serikali yake.
Angalia hata humu baada ya mauaji ya Oktoba 29 uchangiaji ni kama haupo na labda machawa ndio wameongezeka zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.