Depo raha sana!!

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
CklAlijW0AAw0yz.jpg
 
Duh ..kumbe wanapata muda wa kuji-make-up.......Good to see our kids enjoy their time with GESH...Huo ndio uzalendo sasa. Huwa napenda pale unamsikia mtu proudly anasema "mie nimepita JKT bana usinione hv"....hahaha nice.

Duh, nahisi wewe hujapita Jeshi au JKT....lazima tukutafute kokote ulipo ukapige miezi yako uliyo'jongo'....tehtehtehteh (just a joke)
 
hahhaha na uzee huu mkuu, sie tuliambiwa hakuna chuo wala ajira bila ya cheti cha jkt...waliobahatika ni wale walioweza kwenda kusoma abroad.....otherwise kila application ziliomba cheti cha jkt.....hv unajua miaka hiyo ilibidi hata uwe na kadi za ccm, vijana ccm, na ziwe active hahahah
 
i love you soooo soooooo,serengeti...serengeti i wonder you are....... ngorongoroooooo ngorongoroooooo i wonder you are ,i love sooo soooo ngorongoro...

afande:mmekuja kuimba huku,haya nikisema chini wote mnaenda juu na nikisema juu wote chini waziiiiiiiiiiiiiii

kuruta:waziiiiiiii afande

afande:haya chiniiiiii

dah kipindi hicho 835KJ KABUKU hiyooooo
 
Hahahahaaaaaah, umenifurahisha sana comrade....ila inabidi unitajie 'force number' yako na ulikuwa 'operesheni' gani, na kambi gani (Bulombora, Mafinga, Makutupora, Ruvu au Oljoro?) maana huaminiki (just a joke) ....Mimi mpaka leo ninayo kadi yangu ya CCM na ile ya TANU youth league na certificate yangu ya JKT....hahahaha...very interesting... 'ma-toto' ya siku hizi hayataki kwenda JKT...duh, very disgusting...
 
hahaha sikumbuki namba mkuu, password zenyewe tu kivumbi, mie nilikua na kanali Mlai Mafinga....very beautiful camp, weather poa hakuna malaria, great experience..wewe je
 
i love you soooo soooooo,serengeti...serengeti i wonder you are....... ngorongoroooooo ngorongoroooooo i wonder you are ,i love sooo soooo ngorongoro...

afande:mmekuja kuimba huku,haya nikisema chini wote mnaenda juu na nikisema juu wote chini waziiiiiiiiiiiiiii

kuruta:waziiiiiiii afande

afande:haya chiniiiiii

dah kipindi hicho 835KJ KABUKU hiyooooo
Una mapuuza wewe
 
hahaha sikumbuki namba mkuu, password zenyewe tu kivumbi, mie nilikua na kanali Mlai Mafinga....very beautiful camp, weather poa hakuna malaria, great experience..wewe je

Duh, nilikuwa Makutupora...Duh, aisee pale palikuwa na shughuli nzito ya kuchimba mitaro ya mizabibu, na shamba lile la mtama mfupi sijui serena...sisahau shughuli ya kuchunga mbuzi....nakumbuka siku moja alikuwa anakuja kiongozi mkubwa, basi ikabidi tuwapige mswaki wale mbuzi...duh aisee, shughuli nzito, mbuzi anavyopiga kelele wakati wa kumpiga mswaki...Ila sitasahau tukio la mwenzetu mmoja alikuwa 'fala' yule tumekwenda 'field' zaidi ya kilomita 15 hivi sasa wakati wa kurudi tumekaribia kambi aaaah kumbe yule 'fala' amepoteza 'magazine' , mama yangu inabidi tuanze kurudi tena tulikotoka, aaah yaani tuna-comb kila kitu, watu wanalia wengine wanatambaa..duh, aisee...very 'interesting'..tukikutana sasa na ma-comrade over a bottle of beer, duh mazungumzo safi....That was a good training...I l loved it...miezi kadhaa iliyopita li-toto langu moja likawa linasitasita kwenda JKT kwa mujibu wa sheria, basi 'nika-liburuza' mpaka mlalakuwa na 'kuliandikisha'....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom