idiomer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 276
- 331
Bwawa la Mwalimu Nyerere likikamilika umeme utashuka bei
Gesi ya Mtwara itasambazwa mikoani kila nyumba.
Taasisi za umma mwisho 2025 kutumia kuni
Kwenye msafara wangu mawaziri watapanda basi la pamoja.
Ifikapo mwaka...wizara zote ziwe zimehamia dodoma
Bima za afya kwa wote
Maji kutoka ziwa Victoria kwenda Tabora
Hotuba za kila mwezi
Kitabu kimoja mtoto mmoja
Tutajenga Arena au concert hall kubwa Dar
Depo kubwa la mafuta kujengwa
Bwawa kubwa la maji kujengwa Morogoro.
Wewe ipi ? Ahadi Unakumbuka na haijatekelezwa?