Deo Mwanyika of Bulyanhulu convicted of Tax Evasion

Deo hata km angefia jera! Deo alinyanyasa sana watanzania wenzake! Hawafai, Asa nae alikuwa mtu mwema ila alipopewa tu ukubwa akafunga fulsa zte tulizokuwa tunapewa na wazungu. Malipo hapa hapa duniani.

Wamekuja wamekuta kampuni haipo. Waende ulaya najua mabeberu watawapereka mchi zingine kufanya kazi.
 
Huyu jamaa hafai! Asa nae alikuwa mtu mwema ila alipopewa ukubwa tu, akaondoa ofa zte tulizokuwa tunapewa na wazungu!

Hawakustahili kutoka hawa, wametutesa sana watanzania wenzao badara ya kutusaidia.
 
Au kifungo cha miezi 4 jela, bora kwenda jela miezi 4 niokoe 1.5B
Hio bargain kabla hukumu haijatoka ni lzm ukae na walioshika funguo za pingu myajenge.Wamepima kukaa ndani kusubiria haki na kununua Uhuru wako kipi Bora.
Pana jamaa elf 20 kakaa ndani mwaka ilipokuja fursa ya barua ya msamaha akachague heri apoteze kazi plus kulipa fine milioni na nusu kwa kulazimika kukiri kosa ili aokoe familia.Yupo mtaani anapambana na maisha na familia inasonga, aliona ndani waweza kaa hata miaka 10 kusubiria ushahidi wa uhujumu uchumi wa elf 20 sababu tu upewi nafasi ya kujitetea ili waufahamu ukweli au ni chuki tu za mkuu wake wa kazi.
 
Deo hata km angefia jera! Deo alinyanyasa sana watanzania wenzake! Hawafai, Asa nae alikuwa mtu mwema ila alipopewa tu ukubwa akafunga fulsa zte tulizokuwa tunapewa na wazungu. Malipo hapa hapa duniani.

Wamekuja wamekuta kampuni haipo. Waende ulaya najua mabeberu watawapereka mchi zingine kufanya kazi.
Ni hulka yetu weusi,Hawa ma HR Mungu anawaona eti wanawaambia wawekezaji standard ya mishahara ni hii ukiwapa nyingi watalewa.Kuna kampuni ya ulinzi Mzungu alitaka kulipa mshahara laki tano akashikwa sikio na mswahili Hawa walipe 220000.
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake
 
Wengi walikuwa na mob mentality, walijiingiza kwenye makundi ya kihalifu, wizi wa mafuta, ulevi kazini, kutokutii kanuni za afya na usalama, walivunja cardinal rules, kwa makusudi!

Walitaka Deo awatetee, ilhali naye ni muajiriwa kama wao na ana job description na score-card ya key performance indicators!
Inasikitisha mno, watz tu wavivu sana, tukitaka upendeleo hata kwenye vitu visivyo na tija!

Deo Mungu atamlipia...binafsi nimeyaishi maisha ya mgodini! Wanasiasa siyo watu wazuri kabisa!

Everyday is Saturday.......................... :cool:
Well said. Watu wanataka watetewe katika uovu. Watu wa namna hiyo, kwao hakuna aliye mzuri. Mzuri ni yule atakayewasaidia katika uovu.

Nimefanya kazi Buly. Kwa muda wote niliofanya, sikuwahi kuuona huo ubaya wa Deo au mtu mwingine yeyote wa idara aliyokuwa anaisimamia.

Mwanzoni alikuwa Manager, Legal department. Baadaye akawa ndiye afisa mkuu wa kampuni anayeshughulikia mahusiano ya kampuni na serikali. Wewe mtu wa mining, plant, sijui stores, accounts au exploration - huo ubaya wa Deo ulikugusa kwa namna gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anawalazimisha kwenda kufanya kazi? Hao walioenda, hawakuwahi kusikia kuwa wenzao wamefia migodini?
Mkuu, mbona unahasira asubuhi Asubuhi? Unawajua Wamarekani mkuu, wakiwa mahala popote pale, ikiwa mmoja wao atakufa, hiyo nchi ni lazima ijieleze, lakini Sisi hata tukiwa ofsi moja tu, boss kuwanyanyasa wafanya kazi ni kawaida, ifike pahala, iwe Mtanzania Kwanza!
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu leo imewahukumu aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, Deodatus Mwanyika na wenzake wawili, kulipa fidia ya TSh1.5 bilioni baada ya kupatikana na hati ya kukwepa kodi.

Imetoka wapi? Soma TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa rais wa kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika na Alex Lugendo

===

The Kisutu Resident Magistrate Court has today ordered the Pangea, North Mara Exploration and Bulyanhulu Gold Mines President Deodatus Mwanyika (56) and his co-accused to pay compesation of Sh 1.5billion after they were found guilty of tax evasion.

The court also ordered the trio to pay an additional fine of Sh1.5 million fines or serve a jail term of four months.

The Resident magistrate Godfrey Isaya arrived at the decision after the accused pleaded guilty through a plea bargain arrangement at the office of the DPP.

Others also convicted alongside Mr Mwanyika on economic crimes charges number 37 of 2018 included Bulyanhulu Corporate affairs manager, Alex Lugendo (43) and the managing director of Pangea, North Mara and Bulyanhulu mines, Assa Mwaipopo (57).

Before the judgment was reach the state led by Paul Kadushi , Shadrack Kimaro and Wankyo Simon, claimed the case had come for judgment after the accused entered a guilty plea with the Director of Public Prosecution.

Out of the 39 charges, the accused faced one charge of not paying taxes worth $9,309,600 to the Tanzania Revenue authority

Source: The Citizen

Tendo hili la kutokuwa mzalendo ulifanywa na viongozi wote wa mashirika ambayo yalikuwa ya binafsi(Private) na mashirika yote yaliyokuwa yamebinafsishwa(privatized companies/corporations kama Railways, Airways, telecommunication companies(Celtel, Tritel etc) lakini bahati yao ni kuwa Magufuli alikuwa bado hajaingia madarakani. Even certain government officials received kickbacks from such private companies!! Indeed tu mshukuru Mungu saaana kwa kutupatia kiongozi mzalendo - Magufuli!
 
Mkuu ilikuwaje waliotajwa kuhusika kuihujumu serikali kwenye mikataba ya madini kma kina chenge n.k hawajafikishwa mahakamani mpaka leo? Ina maana hakuna hta mhusika mmoja iwe TRA/wizara ya nishati n.k ambaye alihujumu ama kunufaika na hii mikataba ilyoitwa ya kinyonyaji??

Ama Magufuli bado hakuwa Rais
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu leo imewahukumu aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, Deodatus Mwanyika na wenzake wawili, kulipa fidia ya TSh1.5 bilioni baada ya kupatikana na hati ya kukwepa kodi.

Imetoka wapi? Soma TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa rais wa kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika na Alex Lugendo

===

The Kisutu Resident Magistrate Court has today ordered the Pangea, North Mara Exploration and Bulyanhulu Gold Mines President Deodatus Mwanyika (56) and his co-accused to pay compesation of Sh 1.5billion after they were found guilty of tax evasion.

The court also ordered the trio to pay an additional fine of Sh1.5 million fines or serve a jail term of four months.

The Resident magistrate Godfrey Isaya arrived at the decision after the accused pleaded guilty through a plea bargain arrangement at the office of the DPP.

Others also convicted alongside Mr Mwanyika on economic crimes charges number 37 of 2018 included Bulyanhulu Corporate affairs manager, Alex Lugendo (43) and the managing director of Pangea, North Mara and Bulyanhulu mines, Assa Mwaipopo (57).

Before the judgment was reach the state led by Paul Kadushi , Shadrack Kimaro and Wankyo Simon, claimed the case had come for judgment after the accused entered a guilty plea with the Director of Public Prosecution.

Out of the 39 charges, the accused faced one charge of not paying taxes worth $9,309,600 to the Tanzania Revenue authority

Source: The Citizen
mbuzi ya kafara, mebeberu wamemlipia kwa kosa asilolifanya yeye
 
Ni hulka yetu weusi,Hawa ma HR Mungu anawaona eti wanawaambia wawekezaji standard ya mishahara ni hii ukiwapa nyingi watalewa.Kuna kampuni ya ulinzi Mzungu alitaka kulipa mshahara laki tano akashikwa sikio na mswahili Hawa walipe 220000.
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake
Ndio ni kweli hii ngozi nyeupe ikishaapata Barak Mahali unakuwa kama laana kwa wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom