Deo Mwanyika na pesa za laana

Deo Mwanyika na pesa za laana

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
396
Reaction score
196
Ni rais wa Barrick Africa,mtanzania mwenzetu,amenunuliwa na kampuni hii ya kitapeli duniani,ndiye hawa matapeli Barrick wanamtumia kuwatesa watanzania na kudhulumu haki zao.

Mshahara wa Mwanyika kwa mwezi ni TSh 33,000,000 na huo ni nje ya marupurupu, kazi kubwa ya Mwanyika ni propaganda dhidi ya Barrick na serikali,anatumiwa na baadhi ya wakubwa wa Barrick kama CEO kuficha ukweli,e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000 inayobaki anakula Mwanyika na CEO wake Gordon.

Hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay, sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula Mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka Sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.
 
Ubunge wa Njombe kwa Anna makinda unawasumbua mmeanza kuweweseka na Deo mwanyika!!
 
Wewe mchovu wa mgodini kwani huko kwenye migodi yenu hamna chama cha wafanyakazi? Kama hao viongozi wenu wa chama cha wafanyakazi wameshindwa kuwatetea huwezi kumlaumu Deo Mwanyika yeye ni part of the menejimenti yenye taratibu zake za kufanya kazi. Jitambueni ili mpatae haki zenu kama mnastahili.
 
We kibaraka mkubwa usiyejua chochote,unadhani kila anayezungumzia kitu kinamhusu? mimi ni mwanaharakati,I dont work with Barrick,so far wasting my time by argueing with a fool like you that does not match my scale at any extent is merely great daftness,I can't put up with you because you're mind is phlegmatically distorted by being raised into scrub enviroment wherein you were probably a thug,that's you uphold Mwanyika,whilst you know not of the other side,this seems that your IQ audacity suffers low,hence you better should have kept silent than trying to chop poor points into the thread which you understood not of what it meant,to me you're an imbecile that needs to be taken to mir
 
Kaka umemshughulikia sidhani kama kakuelewa,maana inabidi awe na kamusi pembeni,vinginevyo.......
 
umetoka nje ya mada, vinginevyo lete uhusiano uliopo kati ya hoja yako na uzi uliopo...
 
Hivi baadhi ya Watanzania ni nani aliyetuloga, inakuaje mtu amefanya utafiti unaohusu mustakabali wa Taifa halafu anatokea mtu porini anapinga tu bila sababu ya msingi.

Mimi nilidhani wale wote wanaopinga uzi huu wangekuja na hoja za kuomba ushahidi zaidi juu ya ukweli wa utafiti huu. Kumbukeni sio wote wanaoweza kujitolea kufanya chunguzi hatari kama hizi, kwani watu wangapi waliojaribu kwenda kupata ukweli huko mgodini wamepigwa risasi au hata kuuawa....

Kuna hata wabunge ambao tulikuwa tunawasifia kupigia kelele kuhusu mikataba tata ya uchimbaji siku hizi kimya, ikabainika kumbe walikuwa wanatua na ndege ndani ya migodi wanaongea na wahusika na kuondoka na bahasha kimya kimya....
 
kazi kubwa ya Mwanyika ni propaganda dhidi ya Barrick na serikali,anatumiwa na baadhi ya wakubwa wa Barrick kama CEO kuficha ukweli,e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000 inayobaki anakula Mwanyika na CEO wake Gordon,hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay,ila sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.

Mkuu nadhani huna ufahamu wowote kuhusu namna makampuni ya kibepari yanavyoendeshwa, tatizo kubwa la watanzania ni kujifanya wajuaji hata kwa mambo wasioyajua.

1. Byrnecut - Imepewa contract ya kufanya development (kufukua maeneo mapya kwa maendeleo ya mgodi) si kuuziwa.
Kumbuka wo ndiyo walioanzisha hiyo development mgodi ulipoanza.

2. "e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000" Hii ni claim ya kipuuzi kabisa kumbuka hiyo siyo posta au halmashauri ya wilaya Kilindi.

3. Mil. 33 (USD 20,000) kama mshahara kwa taarifa yako kuna watanzania kibao siku hizi wanalipwa that much na wala hawakumtapeli au kumdhulumu mtu yeyote.

Tuweni siriaz jamani taifa linaangamia halafu watu wanaleta stori za kufikirika.
 
We kibaraka mkubwa usiyejua chochote,unadhani kila anayezungumzia kitu kinamhusu? mimi ni mwanaharakati,I dont work with Barrick,so far wasting my time by argueing with a fool like you that does not match my scale at any extent is merely great daftness,I can't put up with you because you're mind is phlegmatically distorted by being raised into scrub enviroment wherein you were probably a thug,that's you uphold Mwanyika,whilst you know not of the other side,this seems that your IQ audacity suffers low,hence you better should have kept silent than trying to chop poor points into the thread which you understood not of what it meant,to me you're an imbecile that needs to be taken to mir

Andika kiswahili wewe mburula wa secondary za kata pengine ndio utaeleweka ,lugha ya watu huiwezi unalazimisha tu na kujitia aibu!! Ungeandika kiswahili pengine ningekujibu ujinga wako hata kama unajiita mwanaharakati!! Ndio maana wanaharakati wa sampuli yako hawafanikiwi katika kuwatetea wananchi kwasababu upeo wao ni finyu wanaishia kupiga kelele na kutokwa mapovu bila mafanikio!! Akili yako ulivyoionesha kwenye thread yako, menejimenti ya Barrick hata kwenye geti lao hawawezi kukuruhusu kuingia kwani utawapotezea muda tu.
 
Kaka umemshughulikia sidhani kama kakuelewa,maana inabidi awe na kamusi pembeni,vinginevyo.......

Wewe nawe mburula mwenzie ndio umeelewa kisichoeleweka alichoandika huyo mwanaharakati uchwara anayefikiri kuwa Mwanyika ndio mwenye maamuzi ya mwisho katika menejimenti ya Barrick!! Angekuwa mwanaharakati makini angekuwa conversant na corporate governance hivyo asingekuja na ujinga huu!! Anadhani mshahara wa $20,000 kwa mwezi ni hela nyingi sana kwa dunia ya leo!! Mshahara hautolewi kama bahashishi bali unaendana na ufanisi [ productivity] ya kazi ya mtu!!
 
Andika kiswahili wewe mburula wa secondary za kata pengine ndio utaeleweka ,lugha ya watu huiwezi unalazimisha tu na kujitia aibu!! Ungeandika kiswahili pengine ningekujibu ujinga wako hata kama unajiita mwanaharakati!! Ndio maana wanaharakati wa sampuli yako hawafanikiwi katika kuwatetea wananchi kwasababu upeo wao ni finyu wanaishia kupiga kelele na kutokwa mapovu bila mafanikio!! Akili yako ulivyoionesha kwenye thread yako, menejimenti ya Barrick hata kwenye geti lao hawawezi kukuruhusu kuingia kwani utawapotezea muda tu.

We mjinga kweli! asubuhi ya leo tu nilikuwa ndani ya mgodi,na jioni hii narudi tena humo,unadhani naandika nisiyoyajua? mi si mjinga kama wewe mwana ccm mliotuharibia nchi,pia kiingereza hukijui,ndo maana unanikosoa,neno "suffer" kwa shule yako ndogo umekariri inamaanisha kuugua,hujui kabisa gramma construction,hata hivyo sijawahi kuona mwana ccm mwenyewe akili timamu,ukimtoa Nyerere,nyie wengine wote bongo zenu zimejaa funza tupu,nahisi hata kutapika.
 
Mwanyika ni mtu mwadilifu sana na amekuwa ni nguzo kubwa sana kwa wafanyakazi wazawa na ni mcha Mungu.
 
Ni rais wa Barrick Africa,mtanzania mwenzetu,amenunuliwa na kampuni hii ya kitapeli duniani,ndiye hawa matapeli Barrick wanamtumia kuwatesa watanzania na kudhulumu haki zao.

Mshahara wa Mwanyika kwa mwezi ni TSh 33,000,000 na huo ni nje ya marupurupu, kazi kubwa ya Mwanyika ni propaganda dhidi ya Barrick na serikali,anatumiwa na baadhi ya wakubwa wa Barrick kama CEO kuficha ukweli,e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000 inayobaki anakula Mwanyika na CEO wake Gordon.

Hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay, sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula Mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka Sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.

Pesa za laana makanisa yangejengwa ndugu

Ukizipata unazitakasa unakula mema ya nchi
 
Wewe mchovu wa mgodini kwani huko kwenye migodi yenu hamna chama cha wafanyakazi? Kama hao viongozi wenu wa chama cha wafanyakazi wameshindwa kuwatetea huwezi kumlaumu Deo Mwanyika yeye ni part of the menejimenti yenye taratibu zake za kufanya kazi. Jitambueni ili mpatae haki zenu kama mnastahili.
Real, you are good for nothing fool, mwenzio akionewa wewe ndo furaha yako? manina zako kabisa!
 
Hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay, sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula Mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka Sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.

Ukiacha hoja zingine na shauri mleta hoja ufanye utafiti. Sijui kwa kiasi gani unauhakika kama Barick imeuzwa au imeajiri Kampuni nyingine kufanya shughuli ya kuchimba kwa niaba yao.

[h=2]www.byrnecutoffshore.com/contact-us/][/h]
Byrnecut Offshore is an internationally recognised underground mining contractor that offers both a unique range of services and a wide range of experience. Since starting its international operations in 1999, it has grown into one of the most experienced underground mining contractors across the globe. Byrnecut Offshore currently employs over 1,000 people worldwide with operations currently in South Africa, Democratic Republic of the Congo, Ghana, Mali, Saudi Arabia, and Kazakhstan. [h=3][/h]
 
We kibaraka mkubwa usiyejua chochote,unadhani kila anayezungumzia kitu kinamhusu? mimi ni mwanaharakati,I dont work with Barrick,so far wasting my time by argueing with a fool like you that does not match my scale at any extent is merely great daftness,I can't put up with you because you're mind is phlegmatically distorted by being raised into scrub enviroment wherein you were probably a thug,that's you uphold Mwanyika,whilst you know not of the other side,this seems that your IQ audacity suffers low,hence you better should have kept silent than trying to chop poor points into the thread which you understood not of what it meant,to me you're an imbecile that needs to be taken to mir
Duh! Kakuelewa kweli!M maana mwenyewe ushasema hajui chochote!!! Mi naona kama umejitukana mwenyewe na wale walioelewa japo hawahusiki na kauli zake
 
Back
Top Bottom