Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Wala asilaumiwe kwa shida mnazopata. Uongozi wa makampuni ya migodi huwa ni wazungu wenyewe. Watu kama Mwanyika wanawekwaga kulainisha serikali na kutatua mambo ya zengwe za kisiasa (hata wewe ukiwa na kampuni kubwa, usisahau kufanya hivyo). Anacholipwa ni stahili yake kwa anachofanya. Ingekua kingi, wangemstaafisha.
Tuepuke kulalamika bila msingi. Wenye kujua wamekwambia wala haijauzwa hiyo barick. Mwanaharakati ulishindwaje kujua la msingi kama hilo?
Tuepuke kulalamika bila msingi. Wenye kujua wamekwambia wala haijauzwa hiyo barick. Mwanaharakati ulishindwaje kujua la msingi kama hilo?