Deo Mwanyika na pesa za laana

Deo Mwanyika na pesa za laana

Kama kuna makosa walipaswa wakamatwe hao Wazungu wa Barrick. How do you arrest a mere employee who was discharging his daily routine and not his Boss who was instructing him to do so.
 
Raia Wa kawaida ameweka uzi tangu 2014 mtu anakamatwa 2018 halafu kuna lise****nge linasema fitina
Kawekwa mahabusu kwa fitna tu za Jiwe. Nchi hii haifuati utawala wa sheria, mtuhumiwa anakamatwa, anapelekwa rumande ndiyo uchunguzi unaanza na kutafuta makosa.

Ridiculous
 
Uzi huu unadhihirisha jinsi Mh.Magufuli anavyosapotiwa na watu wa chama chake waliokuwa sehemu ya tatizo na hawakupenda kabisa kusikia mambo mabaya yakiongelewa dhidi ya wale walioshiriki kuhujumu Neema ya madini hususan katika kampuni ya Barrick.

Wanaonekana wanamshambulia mleta uzi Kisa tu amemsema Deo mwanyika ambaye hata hivyo alipoondoka Barrick kutokana msimamo thabiti wa Rais wetu Magufuli,hao waliomtetea walikuwa wa kwanza kumsuta.

Kwa kweli safari bado tunayo.Naamini siku akiingia rais asiye muadilifu,wataungana naye kumtukana Rais wetu wa sasa ambaye ameamua vilivyo kupigania raslimali za taifa dhidi ya wajanja wachache waliokuwa wakituhujumu sana.

Muda ni mwalimu mzuri
 
Mtoa mada asome kwa bidii ili apate michongo mikubwa mikubwa kama hiyooo atafute pesa
mbona mnamshambulia mleta mada ......ila kama ni kweli huyo mwanyika ache adhulumu tu maana hata akifa ataacha kila kitu duniani.....
 
Mkuu nadhani huna ufahamu wowote kuhusu namna makampuni ya kibepari yanavyoendeshwa, tatizo kubwa la watanzania ni kujifanya wajuaji hata kwa mambo wasioyajua.

1. Byrnecut - Imepewa contract ya kufanya development (kufukua maeneo mapya kwa maendeleo ya mgodi) si kuuziwa.
Kumbuka wo ndiyo walioanzisha hiyo development mgodi ulipoanza.

2. "e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000" Hii ni claim ya kipuuzi kabisa kumbuka hiyo siyo posta au halmashauri ya wilaya Kilindi.

3. Mil. 33 (USD 20,000) kama mshahara kwa taarifa yako kuna watanzania kibao siku hizi wanalipwa that much na wala hawakumtapeli au kumdhulumu mtu yeyote.

Tuweni siriaz jamani taifa linaangamia halafu watu wanaleta stori za kufikirika.
Wewe umekuja kiutetezi zaidi,huenda ndie deo mwenyewe.
Acheni upotoshaji
 
Wewe nawe mburula mwenzie ndio umeelewa kisichoeleweka alichoandika huyo mwanaharakati uchwara anayefikiri kuwa Mwanyika ndio mwenye maamuzi ya mwisho katika menejimenti ya Barrick!! Angekuwa mwanaharakati makini angekuwa conversant na corporate governance hivyo asingekuja na ujinga huu!! Anadhani mshahara wa $20,000 kwa mwezi ni hela nyingi sana kwa dunia ya leo!! Mshahara hautolewi kama bahashishi bali unaendana na ufanisi [ productivity] ya kazi ya mtu!!
Kazi ya mwanyika ina ufanisi upi?

Kwa kuwasakdia wazungu kuwapunja watanzania wenzake?
 
Deo alitumika na watanzania wenyewe kupiga mpunga ndiyo maana kulikuwepo kampuni ya ACCACIA iliyokuwa inashirikiana na barick ukweli ni kwamba deo alitumiwa na mabos wa hapa nchini , kwa taarifa ni kwamba accacia ilikuwa ni kampuni ya kitapel iliyoundwa na wazawa wakafanya negotion na barick wakaangalia NI jinsi gani watapiga hela wakafanikiwa! Awali ilikuwepo kahama gold mine ikaja African barrick ikaja accacia! Hao accacia ambao ni wazawa walichuma Sana na Kuna baadhi ya wanasheria waliajiriwa kwa ajiri ya kuitetea kampuni hii na kuwatoa hao jamaa jpm hakutaka kuongea nao na alikuwa anawajuwa ni vigogo waliokuwemo serikalini akawatoa kinamna na ndiyo maana accacia hawakuwahi kuonekana hata sikumoja. Sasa hivi wanaaibu kubwa wanaishi kwa kujishitukia wakidhani kwamba mkono wa dola utawakuta! Ndiyo maana deo anasota rumande kwa sababu ndiye anayeonekana alikuwa ceo wa mgodi na anajuwa alichokuwa anakifanya !huyu mtu alikuwa untouchable wafanyakazi walilia Sana mzungu alipendekeza wafanyakazi walipwe kwa dollar lakini yeye akakataa . Kwa Sasa anavuna alichopanda mahabusu laana inamtafuna ya wafanyakazi pamoja na umma kwa ujumla! Aliyoyafanya yanahunisha mbele ya taifa na genge lake ndiyo maana tume ya prof😱solo alisema accacia haikuwahi kusajiriwa hata brela
 
Ni rais wa Barrick Africa,mtanzania mwenzetu,amenunuliwa na kampuni hii ya kitapeli duniani,ndiye hawa matapeli Barrick wanamtumia kuwatesa watanzania na kudhulumu haki zao.

Mshahara wa Mwanyika kwa mwezi ni TSh 33,000,000 na huo ni nje ya marupurupu, kazi kubwa ya Mwanyika ni propaganda dhidi ya Barrick na serikali,anatumiwa na baadhi ya wakubwa wa Barrick kama CEO kuficha ukweli,e.g mishahara ya wafanyakazi wa Barrick Toronto inajulikana kama Tsh mil 1.2 kima cha chini,kumbe uongo,ukweli ni sh 435,000 inayobaki anakula Mwanyika na CEO wake Gordon.

Hivi sasa Barrick imeuzwa kwa kampuni ya Australia iitwayo Byrnercut wafanyakazi wa Barick wanatapeliwa na serikali yao kwa kuambiwa eti wanapewa redundancy kumbe ukweli ni business change,ambapo walitakiwa wapewe miezi 12 mara basic pay, sasa mambo yatakuwa tofauti watapewa mwezi mmoja tu wa mshahara wao,hizo pesa zingine anakula Mwanyika na wenzake,mwezi juzi kaagiza kampuni toka Sweden imjengee nyumba,pesa za mwanyika ni za dhuluma na zina laana.
Hakuna jipya kwenye mkataba wa Twiga na Barrick. Haya sasa Jiwe waachie Watanzania wenzetu uliowaweka rumande bila makosa waje wajenge nchi.

Ripoti ya Prof Osoro na Prof Mruma ni pure rubbish kama alivyosema Tundu Lissu kwa kuwa ile USD 190 Bilioni imeyeyuka. Na based kwenye ripoti za hao Maprofesa uchwara ndiyo akina Deo Mwanyika walikamatwa. Waachieni sasa
 
Back
Top Bottom