Denis Msacky, Zitto Kabwe waungana kumjulia hali Kibanda

Denis Msacky, Zitto Kabwe waungana kumjulia hali Kibanda

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
578
Naibu Katibu Mkuu Wa CHADEMA Mh.ZITTO KABWE Ametua Nchini Afrika Kusini Nakumjulia Hali Mhariri Mtendaji Wa Habari Corporation Ndugu ABSALOM KIBANDA SOURCE FACBOOK WALL YA ZITTO

Mwandishi Wa Gazeti la mwananchi ndgu Denisy Msacky Ameungana na Naibu Katibu Mkuu Wa CHADEMA NDUGU ZITTO KABWE KUMJULIA HALI NDUGU ABSALOM KIBANDA HUKO AFRIKA KUSINI SOURCE OMARY LYAS FECBOOK WALL
 
Ni Zitto peke yake anaruhusiwa kwenye viongozi wa CDM, wengine wanaweza kumpelekea uji wenye unga mwekundu kukamilisha nia yao.
 
Kuna wana siasa wengine watafukuzwa wakienda kumuona Kibanda hakuna haja ya kuwataja wanajijua wenyewe.
 
Magamba na membe wana laana kwa kutesa..wote tuseme AMINA.
 
Haya mambo yapo serious zaidi ya tunavyodhani...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuna wana siasa wengine watafukuzwa wakienda kumuona Kibanda hakuna haja ya kuwataja wanajijua wenyewe.

Kikwete alienda kumwangalia Kubenea hospl....lkn kubenea aligundua kuwa yu mnafiki wa kutupwa!! akaendelea kuchana, hadi kalifungia gazeti lake..na akajitapa kijinga nje ya nchi kuwa hata lifungulia!!

Wanafiki wanajulikana tu...wanapenda sifa rahisi kama hii ya kwenda A. kusini....
 
Back
Top Bottom