KOKUTONA habari za utokako
Habari mpya huku ni kuwa
Vin Diesel ana mpango wa kufunga ndoa na
Lady doctor na
Erickb52 anasema ndoa yake ba wewe bado ipo na
Arushaone bado anaendeleza uking mswati halafu
Mamndenyi ameachwa na
Mr Rocky na ndoa yake ya zamani na
Dena Amsi imerudi
Slave bado ni kula kulala na
manoah pia nae huwa anasubiri ugali wa shikamoo
Bishanga ana madeni kama serikali na mkewe @ the secretary naona ana mpango wa kutafuta kiserengeti boys
Evelyn Salt yupo yupo tuu baada ua
Slave kumtema