Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Ukioa umeoa wawili....
Hivi? Ndo kusema na ex gf atamuacha mumewe? Hili hata mm lilinijia kichwani. Kwamba siku za usoni aweza kuanza kumuonea wivu binti na kuamua kuvuruga ndoa kwa kuweka mahusiano ya huko nyuma kati yangu na yy mubashara
 
Mkuu toa ushauri. Ushauri ni muhimu mno kwa mtoa mada kwa sasa kuliko mambo mengine
naweza nikatoa ushauri wenye utata...Embu weka wazi jinsia yako kwa maana kuna thread niliona wewe ni MWANAMKE leo umekuja kama MWANAUME
 
naweza nikatoa ushauri wenye utata...Embu weka wazi jinsia yako kwa maana kuna thread niliona wewe ni MWANAMKE leo umekuja kama MWANAUME
Mkuu yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo. Nipe ushauri wa mada mezani
 
Huyo kwani hawezi kuchangia pato la familia kama ukumuwezesha?


Cc: mahondaw
Neno kuntu mkuu. Lkn yasemekana hawajiamini na wala hawatoi ushauri wowote kwa mume. Ile kauli ya nyuma ya mwanamume mwenye mafanikio kuna mwanamke haitimii. Kwa kuwa hashauri kitu
 
Hapana. Yasemekana anapunguza mzigo wa utegemezi kwa mumewe. Pia yasemekana anachangia pakubwa kwa pato la familia kupitia mshahara wake

Inategemea na mipango yake na mumewe bana
Wanaume wengine hawanaga habari na mishahara ya kuokoteza ya wake zao inshort
Wapo vizureeeeeeeeeeee. Pia elimu sijui kazi haihusiani kabisa na mapenzi. Ni maoni tu

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom