Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Siyo kweli... Mtu yoyote ukimvunja moyo psychologically unamaliza hata kifrika... Anashindwa kujiamini na atimae kufanya vibaya...


Ni kama mtoto.. Kila anachofanya ukiwa unamm-crash.. Hili toto jinga lione kwanza... Anapoteza kujiamini na atimae kuwa mjinga kweli na kufanya vibaya...

Cc: mahondaw


You have spoken the truth love

Ila hapo mwisho kwenye mfano wa mtoto hapo you mean maneno huumba ama???

Mi namshukuru sana mungu for my Smart911. That's all
 
Tatizo ni kwamba masters iko kwenye kichwa cha juu na wakati utamu uko kwenye kichwa cha chini... Sasa chagua mwenyewe moja wapo ya vichwa vyako viwili ukitunuku!
 
Joseverest umenishupalia leo!!!!?
Hapana sijakushupalia na sina nia mbaya na wewe (ieleweke hivyo), mi nilichokuuliza nijibu tu kiroho safi..Nyoosha maelezo..usipindishe...mi nikitaka kukupa ushauri Roho inasita kabisa
 
You have spoken the truth love

Ila hapo mwisho kwenye mfano wa mtoto hapo you mean maneno huumba ama???

Mi namshukuru sana mungu for my Smart911. That's all
Yes mahondaw wangu... Maneno huumba... And mind is the most powerful weapon... What you think is what you become... What you speak is who you are...

Me and you mahondaw unajua kwa nini we always succeed. Its because we are never negative on each other... Always positive.. Encouraging and confronting each other...
 
Sexless maana yake nini ??

Cc Smart911

Ni mtu aliyekosa matamanio ya kimapenzi, aliyekosa hamu ya ngono, ambae hajishughulishi na maswala ya ngono wala hana mvuto nayo...

Nadhani member alitaka kujiita unisex... Sema alijikuta hajui..

lacking in sexual desire, interest, activity, or attractiveness.
 
WanaJF naombeni ushauri.
Baada ya kutendwa na demu niliyempenda sana nilkata shauri kuwa nile ujana mpk kieleweke. Ktk kula ujana huko palitokea wadada wenye nia ya dhati kabisa ya kuolewa na mm lkn niliishia kuwamega tu na kuwaacha solemba.

Mmoja wa wadada hao alinipenda sana, alionyesha mapenzi ya dhati kwangu na kunipa vya uvunguni kuliko maelezo. Nami kwa kuwa sikuwa tayari kuoa nilimzungusha mpk akakata tamaa.

Sasa hv kidume umri umeenda, nahitaji mke. Mwezi wa pili mwaka huu kunako fb huyo dada aliyekata tamaa (hatukuwa na mawasiliano kwa miaka 2) akanitaarifu ya kwamba yeye ameolewa na ana mtoto wa miezi 9.

Akaniuliza unaoa lini? Nikamwambia bado sijampata mtu sahihi. Nikimpata hata kesho naoa. nikamtania ya kwamba kama kuna mdada anayemfahamu katulia na ana tabia nzuri aniunganishe naye.

Baada ya wiki 2 kupita dada kanirukia hewani, haloo! Na akanijulisha kuwa mchumba kapatikana. Nikamwambia nipe jina lake analotumia fb/instagram ili nione picha zake. Nikatumiwa jina na kuanza kucheki. Mtoto yuko vizuri mno. Kidume nikavutika. Nikampa mrejesho ex-gf wangu kuwa kitu nakihitaji.
mkuu elimu haina nafasi kwenye mapenzi kwani zinatomba.na masters na std 7 au unat.ombana wewe na yeye?

Mengi yaliendelea na mwisho wa siku nikakutana na binti mhusika. Huku na huku nikammega yule binti wa miaka 24. Kidume nikakolea nikajiapiza kuweka ndani mzigo.

Kumbe kwa muda wote huu binti alinidanganya mambo 3.
+Moja elimu yake, alidai amemaliza f4 kumbe ni la 7.
+Mbili mahala anapoishi, alisema anakaa kwa shangaziye kumbe anaishi kwa ex-gf wangu.
+Tatu kazi anayoifanya. Alisema anafanya kazi mgahawani kumbe beki 3.

Nimeyabaini haya baada ya kutaka kumtembelea ex gf wangu ili kumshukuru kwa kuniunganisha na king'asti huyu mwenye utamu wa halua. Akaona ataumbuka akaamua kuweka mambo hadharani.

Kuwa yule binti ni beki 3 wake na anakaa naye anamlelea mwanaye. Ufuuuu!!! Kidume nimepatwa na mshangao. Najiuliza niuache utamu huu uende zake ama niendelee na mipango ya kumuoa. Huyu ex gf hatonichafulia sifa yangu siku za usoni kuwa nimeoa beki tatu wake? Na je ni sahihi kwangu mm na masters yangu kuoa la saba? Kutakuwa na athari zipi ktk hili?

Nipeni mawazo ya kujenga ktk hili.
tombana nae tu elimu haina mahusiano na ndoa
 
Back
Top Bottom