Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Neno kuntu mkuu. Lkn yasemekana hawajiamini na wala hawatoi ushauri wowote kwa mume. Ile kauli ya nyuma ya mwanamume mwenye mafanikio kuna mwanamke haitimii. Kwa kuwa hashauri kitu
Siyo kweli... Mtu yoyote ukimvunja moyo psychologically unamaliza hata kifrika... Anashindwa kujiamini na atimae kufanya vibaya...

Ni kama mtoto.. Kila anachofanya ukiwa unamm-crash.. Hili toto jinga lione kwanza... Anapoteza kujiamini na atimae kuwa mjinga kweli na kufanya vibaya...

Cc: mahondaw
 
Tihitihitih Smart911 wamie buana! Umewaza nini love?!
mahondaw wangu... Ni vile mtoa mada amaponda mwanamke kiisa ya elimu yake na kazi yake... Ndiyo maana nimeuliza...

Wanawake wengi waliyoolewa na wanaume wenye mafanikio makubwa hawana hata elimu za juu.. Wengi na darasa la saba... Lakini wamekuwa msaada mkubwa sana kwa waume zao...

Look at you and me how courage ourselves... We never let ourselves down no matter how hard the situation... We still together... Pray together, do things together... Look how happy we are...

Love u sana mahondaw wangu...
 
Neno ku
Siyo kweli... Mtu yoyote ukimvunja moyo psychologically unamaliza hata kifrika... Anashindwa kujiamini na atimae kufanya vibaya...

Ni kama mtoto.. Kila anachofanya ukiwa unamm-crash.. Hili toto jinga lione kwanza... Anapoteza kujiamini na atimae kuwa mjinga kweli na kufanya vibaya...

Cc: mahondaw
Maneno kuntu mkuu. Unachosisitiza ni kwamba nimsikilize na kumpa support atajiamini na kunishauri
 
Cha msingi umempenda, na umemuona anakufaa. Mambo mengine yanarekebishika, iwe ni elimu au kazi nzuri.
 
Tumia neno lililozoeleka jf.. "mkuu"
Kuwa muwazi tu aisee...unataka ushauri wa kujenga halafu huwi muwazi unategemea nini?

Taja jinsia yako WEWE NI TAIFA STARS (ME) AU TWIGA STARS(KE)
 
mahondaw wangu... Ni vile mtoa mada amaponda mwanamke kiisa ya elimu yake na kazi yake... Ndiyo maana nimeuliza...

Wanawake wengi waliyoolewa na wanaume wenye mafanikio makubwa hawana hata elimu za juu.. Wengi na darasa la saba... Lakini wamekuwa msaada mkubwa sana kwa waume zao...

Look at you and me how courage ourselves... We never let ourselves down no matter how hard the situation... We still together... Pray together, do things together... Look how happy we are...

Love u sana mahondaw wangu...

Love you more Smart911 my king. Ofcourse we are so happy kwakweli namshukuru Mungu kwa kunipatia Smart911 into my life. God bless you sana sana Smart911 mylove.
 
Back
Top Bottom