Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

we unajichanganya sana hahah mambo ya kuwa na ma ID mengi unasahau hata kulog out
 
Huku jf pekee ndo utakutana na watu wenye jinsia mbili na kila jinsia imepitia changamoto zakee
 
Sasa mkuu just imagine ulikuwa unafikiri kuwa jamaa ni ke mnawekeana ahadi kedekede huko pm kuwa mkutane somewhere ili ule tunda la katikati unafurahi sana bila ya kujua kuwa jamaa ni me na anataka yeye ndo akupande wewe,sometime pm ni kuchungu kwelikweli!![emoji53][emoji53][emoji53]
Khaaa...kutachimbika balaa
 
Nilivojua tu unajigeuza geuza mara mwanaume mara mwanamke nikaamua nianyamaze kama ifuatavyo
 
Back
Top Bottom