mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,363
- 224
Dah kweli mapenzi uchafu.................Miezi minne ushapata demu mpya kaka we mkaleeeeeeeeeeeeeeee.
Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.

Nenda kamwone daktari wa magonjwa ya akili
vumilia tu mbona mwenzio nazjaz alivumilia tena wake alikua anajamba mashuzi kila dakika.
Kinywa aende hospitali, saa nyingine ninmatatizo ya meno
Kwapa asuhulie ndimu na kutafuta perfume itakayoendana na jasho lake
Papuchi aioshe mara kwa mara na afyeke mavuzi
Ni kweli kunabinadamu wameumbwa na hali kama hiyo.....wapo wengi tuu ata apige mswaki mara mia domo kunuka ushuzi wa bubu sikia....mdomoni sijui ila kwapa hilo awe analisugua kwa ndimu kila siku asubuhi mchana jioni au akama akiona shida awe anasugua usiku kabla ya kulala......kuhusu huko kwa bibi ni hivi ndio kuna ile harufu natural inayoleta nakshi na mwamko wa mpaenzi na kuna ile harufu inayotokana na mrundikano wa uchafu hummooo kwenye kishimo kile ANUNUE DETTO YA MAJI.......KISHA AKIENDA KUOGA AAAAH......tene achukue ndoo nzima ya maji achanganye na detto aende bafuni shughuli iwe moja kumuosha bibi tuu...... SHURTIIII KILE KIDOLE CHAKE CHA KATI KIINGIE KUNAKOO MACHINE AFANYE KAMA ANACHOKONOA taratibu akikitoa kidole kile kitakua na UTOKO mweupe ka mtindi ...aingize kidole na kutoa akioshe kidole ndo aingize tena kama mara 5...6...7...YANI Amake sure akiingiza kwa mara ya mwisho kidole chatoka bila UTOKO ULE.....akifanya hivo kila siku aaaaah kunani tena harufu itapungua mwisho itaisha kabisa na utaingia chumvini kwa raha zakooo ati.....MDOMO APIGE MSWAKI KUTWA KILA AKITOKA KULA NA AWE ANATUMIA MOUTH WASHER.MOUTH SPRAY NA BIG JII BAZOKA.......UTAFURAHIA MCHEZO.[/QUOTE -aingize tena kama mara 5...6...7.Akiingiza mara zote hizo lazima ata-come! -walah rasuli