Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.