Demu wangu mpya anatema cheche

Kaka una spidi,only 4 months ukafunika gap?duh!

Kaka inabidi apate ushauri kutoka kwa Docter.hata hivyo hayo ni mambo madogo tu

Duh! kumbe na huku huwa unachungulia kupunguza stress?Maana jukwaa la siasa lataka moyo Mkuu
 
pole san, ngoja wataalamu wakushauri kuhusu hayo matatizo, so far naona wadada wengi wanatoa solutions nzuri sana. Ila pls usije ukamuacha kwasababu ya hayo matatizo.
 
Mouth wash itamsaidia,kwapa asugue na limao na huko kwingne kuna dawa AI ER ni nzuri anaweza ipata kwa dola 35,inasaidia kusafsha na kuua bacteria wanaoleta magnjwa yote ya kina dada,inamfanya asiwe mkavu na kumfanya awe tight,akitumia matokeo ataona baada ya masaa 24
 
Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.
:becky::becky::becky: umenichekesha!! Pole, kwapa atumie ndimu kujisafisha, mdomo ajaribu bicabonate, huko kwingine matibabu ya hospitali
 
Ni kweli kunabinadamu wameumbwa na hali kama hiyo.....wapo wengi tuu ata apige mswaki mara mia domo kunuka ushuzi wa bubu sikia....mdomoni sijui ila kwapa hilo awe analisugua kwa ndimu kila siku asubuhi mchana jioni au akama akiona shida awe anasugua usiku kabla ya kulala......kuhusu huko kwa bibi ni hivi ndio kuna ile harufu natural inayoleta nakshi na mwamko wa mpaenzi na kuna ile harufu inayotokana na mrundikano wa uchafu hummooo kwenye kishimo kile ANUNUE DETTO YA MAJI.......KISHA AKIENDA KUOGA AAAAH......tene achukue ndoo nzima ya maji achanganye na detto aende bafuni shughuli iwe moja kumuosha bibi tuu...... SHURTIIII KILE KIDOLE CHAKE CHA KATI KIINGIE KUNAKOO MACHINE AFANYE KAMA ANACHOKONOA taratibu akikitoa kidole kile kitakua na UTOKO mweupe ka mtindi ...aingize kidole na kutoa akioshe kidole ndo aingize tena kama mara 5...6...7...YANI Amake sure akiingiza kwa mara ya mwisho kidole chatoka bila UTOKO ULE.....akifanya hivo kila siku aaaaah kunani tena harufu itapungua mwisho itaisha kabisa na utaingia chumvini kwa raha zakooo ati.....MDOMO APIGE MSWAKI KUTWA KILA AKITOKA KULA NA AWE ANATUMIA MOUTH WASHER.MOUTH SPRAY NA BIG JII BAZOKA.......UTAFURAHIA MCHEZO.

Ahahah we mkaleeee
 
Ila jamaa inaonekana uliweka spea akaikumwaga tu unahamisha majeshi miezi 4 dah nouma snaa
 
Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.


Chafya za nini? kwan umekuwa beberu?
 
Apunguze kileo, mavyakula ya kukaanga yenye mafuta mengi. Atumie garlic kwa wingi. Anywe maji yaliyochanganywa na limao mara kwa mara. Afanye enema at least mata 3 au 4 kwa mwaka. Kwa mengi zaidi PM me
 
mi nlisuguaga halafu nkapata ambaye hawezi kupiga busu anaona aibu janaume zima nkaona bora nibaki jobless tu( enzi hizo lakin)
 
Kwani ilikuaje kuamua kuwa na mtu mwenye harufu kiasi hicho? au ndo ulikua na usongo sana?
 
Sasa hata kabla hujaamua kuwabae hamjawahi kukaa mahali?maan ile ta kuombana namba lengo mukutane tena na tena,kam umekosea unapoteza tu
 
Bujibuji, sijui niseme huna bahati au huwa unajipeleka kweye majanga...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom