Demu wangu mpya anatema cheche

Yaani ni mpya halafu ananuka hivyo.Je upya ukiisha sio ndio utakuwa hupumui kabisa. Labda na wewe ni unatoa kikwapa otherwise ningekuwa mm ningeendelea kuchagua kilicho bora bana ebo. Maisha yenyewe nuksi ukiongezea hilo la kwako si balaa ? I like good, odorless, beautiful things mazee.
 
Pole ndugu. Hiyo ni kawaida ya binadamu, kwa upande wa kwapa anaweza kutumia limao atakuwa analikata anasungua tu kwapani asubuhi na jioni, mdomoni awaone madaktari na kwa upande wa machine kwanza apalilie magugu yote, ajitahidi kunawa vizuri kwa kutumia maji ya uvugu vugu na sabuni ananawa tu hadi ndani kwa kutumia kidole, kila mkimaliza shughuli ahakikishe ananawa vizuri maana zile shahawa zako nazo ninaweza kuchangia kuongeza harufu kama atalala bila kunawa hadi asubuhi.

Mwanamke mazingira baba asikwambie mtu.
 

Mupe pipi ya kijiti banaaaa...
 
dub huyo sio mpya tena ni used mnooooooooo hah hah tehe
 
Babu una moyo... Nadhani kukaa benchi muda mrefu kumekufikisha level mbaya man....
 
mkuu kuna tea bags like dawa ya ng'e anayotoa bibie, sijui jina lake hasa lkn kama vipi mpeleke baharini akaoge maji ya chumvi nayo hutuliza kidogo.... hata hivyo mapenzi uchafu mtu wangu....
 
Best kama ni utani basi umefunika na kama uko serious. Nenda kwa kiongozi wako wa dini, funga ndoa halali naye acha zinaa halafu umvumilie katika shida na raha. Ndo maisha ya ndoa hayo. Na cheche zikiendelea mwoneni Daktari!

kaka fuata haya ni mazuri sana....
 
Darsa zuri. Ila afunge ndoa sasa, anatuharibia dada zetu kwa uzinzi...
 
mhhh... MSALABA HUO...!!
 
Haaaaaa ha haaaa jamani mnanivunjia mbavu zangu mwenzenu, kwa hiyo anatema kama beberu, au samaki alieanza kuoza? Aghrrrr muogeshe na maji ya ukoko wa ugali ni dawa, mh sipati picha akiingia chmvn sindio atakohoa to death.
 
Cecy, kumbuka kikwapa ni ugonjwa, na hiyo harufu inatokea tumboni, hata akioga anawe vizuri haisaidii. Anachotakiwa kufanya nikwenda kutibiwa tu, sisi tulishakua na house maid wetu alikua akitoka bafuni kuoga huwezi ingia bafuni kunavyo nuka na bado yeye pia akikupitia hapo utajuta, so cha muhimu hapo nikutibiwa apewe vidonge ameze, mdomoni atapewa mouth wash, na ushauri zaidi watampatia. JESUS IS MY HOME BOY.
 
kula chumvi uzoee harufu...
Mh bujibu unataka kutapisha watu, ulisha skia samaki alie haribika? Niambie wewe unaweza weka pua? Ngoja nikwambie hata sisi wa dada tuna tabu utakuta unasukwa nywele na mtu anaetema cheche kwa mashine yake, kuna saa inabidi ugeukie upande wake pua yako inakua katikati ya mapaja yake ili akusuke nyuma. My friend mbona ndo utajua urembo lazima urembeke utajuta.
 
Darsa zuri. Ila afunge ndoa sasa, anatuharibia dada zetu kwa uzinzi...
Hapana haitakiwi kunawia detol yamaji, wanawake waharuhusiwi kunawia detol ya maji kisayansi, atakua ana solve problem moja akiwa ana create ingine, mwanamke unapo nawia detol inafanya mishipa ya maeneo kukata stim ya ku do, so atakosa ham kabsaa ya kumpa mchumba haki yake, kikwapa ni ugonjwa na unatibika aende hospital apewe dawa na ajitahidi kua msafi kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…