Demu wangu mpya anatema cheche

Demu wangu mpya anatema cheche

Ni kweli kunabinadamu wameumbwa na hali kama hiyo.....wapo wengi tuu ata apige mswaki mara mia domo kunuka ushuzi wa bubu sikia....mdomoni sijui ila kwapa hilo awe analisugua kwa ndimu kila siku asubuhi mchana jioni au akama akiona shida awe anasugua usiku kabla ya kulala......kuhusu huko kwa bibi ni hivi ndio kuna ile harufu natural inayoleta nakshi na mwamko wa mpaenzi na kuna ile harufu inayotokana na mrundikano wa uchafu hummooo kwenye kishimo kile ANUNUE DETTO YA MAJI.......KISHA AKIENDA KUOGA AAAAH......tene achukue ndoo nzima ya maji achanganye na detto aende bafuni shughuli iwe moja kumuosha bibi tuu...... SHURTIIII KILE KIDOLE CHAKE CHA KATI KIINGIE KUNAKOO MACHINE AFANYE KAMA ANACHOKONOA taratibu akikitoa kidole kile kitakua na UTOKO mweupe ka mtindi ...aingize kidole na kutoa akioshe kidole ndo aingize tena kama mara 5...6...7...YANI Amake sure akiingiza kwa mara ya mwisho kidole chatoka bila UTOKO ULE.....akifanya hivo kila siku aaaaah kunani tena harufu itapungua mwisho itaisha kabisa na utaingia chumvini kwa raha zakooo ati.....MDOMO APIGE MSWAKI KUTWA KILA AKITOKA KULA NA AWE ANATUMIA MOUTH WASHER.MOUTH SPRAY NA BIG JII BAZOKA.......UTAFURAHIA MCHEZO.
Hapa umeharibu mambo ya kike haya yanataka private najua unajaribu kumsaidia lkn unadhani buji atamfikiriaje mwali wake
anyway good job
 
Ni kweli kunabinadamu wameumbwa na hali kama hiyo.....wapo wengi tuu ata apige mswaki mara mia domo kunuka ushuzi wa bubu sikia....mdomoni sijui ila kwapa hilo awe analisugua kwa ndimu kila siku asubuhi mchana jioni au akama akiona shida awe anasugua usiku kabla ya kulala......kuhusu huko kwa bibi ni hivi ndio kuna ile harufu natural inayoleta nakshi na mwamko wa mpaenzi na kuna ile harufu inayotokana na mrundikano wa uchafu hummooo kwenye kishimo kile ANUNUE DETTO YA MAJI.......KISHA AKIENDA KUOGA AAAAH......tene achukue ndoo nzima ya maji achanganye na detto aende bafuni shughuli iwe moja kumuosha bibi tuu...... SHURTIIII KILE KIDOLE CHAKE CHA KATI KIINGIE KUNAKOO MACHINE AFANYE KAMA ANACHOKONOA taratibu akikitoa kidole kile kitakua na UTOKO mweupe ka mtindi ...aingize kidole na kutoa akioshe kidole ndo aingize tena kama mara 5...6...7...YANI Amake sure akiingiza kwa mara ya mwisho kidole chatoka bila UTOKO ULE.....akifanya hivo kila siku aaaaah kunani tena harufu itapungua mwisho itaisha kabisa na utaingia chumvini kwa raha zakooo ati.....MDOMO APIGE MSWAKI KUTWA KILA AKITOKA KULA NA AWE ANATUMIA MOUTH WASHER.MOUTH SPRAY NA BIG JII BAZOKA.......UTAFURAHIA MCHEZO.

we dada inaonekana ulisha kua na hii problem, maana ulivyo onyesha utaalam si haba au wewe ni mtabibu.
 
Mkubwa pole!! hii kali ya mwaka mliwahi kwenda nae jogging? akipishana na mtu si anazimia? hope wewe haja kuaffect/pua zako bado ziko salama? ulivyokutana nae siku ya kwanza hukusikia hiyo harufu? ni menene au mwembamba? anajinyoa maeneo yote uliyotaja isipokuwa mdomo?Nature ya kazi yake ni nini?
 
Mimi sio mtatibi it sa normal thing mwanamke anafundishwa na mama yake.......au mwanamke mwenzie usafi pindi afikapo umri.....jamani
 
Buji buji una laana wewe...hahahahaaaaaaaaa miezi 4 tu!? Dah... haya sasa, umeshauriwa vya kutosha. Noting is impossible under the sun. KAZI KWAKO! Sa na yule mama watoto umemuacha??
 
Kwapa apake ndimu na kuacha kwa robo saa na kuosha mara 3 kwa siku,mdomo kama hajaoza meno na anasafisha ulimi vizuri asukutue na dalasini iliyochanganywa na maji ya moto mara 3 kwasiku.Kwa haya matatizo 2 utaona mabadiliko siku 3-4.Kuhusu hapo chini apime mkojo na kama hana maambukizi mshauri asome dinahicious.blog kuhusu usafi wa mashine inabidi asafishe mpaka ndani kwa kuingiza kidole sio juu juu.
 
baketria!!!!huyo atakuwa na infections toka kwenye uke au kwenye throat/meno labda kwa sababu ya kutokuwa msafi ....yalishawahi nitokea hayo....mpeleke kwa doctor atarekebisha
 
Inanikumbusha wakati tukiwa Msingi tulikuwa na demu moja ndani ya class tulikimwita "CARBON" Eti hewa ukaa!!! Kisa alikuwa akitoka mnuko usio wa kawaida kabisa dawati la watatu aliachiwa mwenyewe.Siku hizi ni mnene fulani hapa nchini,Sijui kama bado ananuka!!
 
Kutema cheche hakujalishi unene wa wadhifa wala nini.
Demu wangu ni mtu mzito pia, anafanya phd yake sasa,
hashauriki wala nini, anajiona amemaliza.
Nyumbani tuko connected na internet,
namtafutia sites za kumsaidia matatizo yake lakini hataki kabisa kusikia juu ya tiba au ushauri wa aina yoyote.
inanikumbusha wakati tukiwa msingi tulikuwa na demu moja ndani ya class tulikimwita "carbon" eti hewa ukaa!!! Kisa alikuwa akitoka mnuko usio wa kawaida kabisa dawati la watatu aliachiwa mwenyewe.siku hizi ni mnene fulani hapa nchini,sijui kama bado ananuka!!
 
Kaka hayo mambo madogo sana jaribu kumpeleka kwa daktari yatakwisha
 
Ni lini mara yake ya mwisho kufanya matambiko ya kimila?
Mwambie akamwage pombe kwenye makaburi ya mababu na harufu zake zote zitakauka.
 
diet...
kula vizuri,kunywa maji mengi!...jioshe vizuri...hakutakuwa na harufu...
 
Best kama ni utani basi umefunika na kama uko serious. Nenda kwa kiongozi wako wa dini, funga ndoa halali naye acha zinaa halafu umvumilie katika shida na raha. Ndo maisha ya ndoa hayo. Na cheche zikiendelea mwoneni Daktari!

Bilashaka Ushauri huu ni kwa hisani ya Maandiko Matakatifu. Amen
 
Inanikumbusha wakati tukiwa Msingi tulikuwa na demu moja ndani ya class tulikimwita "CARBON" Eti hewa ukaa!!! Kisa alikuwa akitoka mnuko usio wa kawaida kabisa dawati la watatu aliachiwa mwenyewe.Siku hizi ni mnene fulani hapa nchini,Sijui kama bado ananuka!!

Agh! Hii kali kuliko thread yenyewe orijino. Kiroroma, ni nani huyo mnene nikaribie kwenye deski lake kuona kama bado anayo hayo maendeleo?
 
well...tatizo la kwapa lianweza kuishwa kwa kutumia deodorant na vikata harufu vingine ikiambatana na medicated soaps zinazoua vimele vya ki bakteria vinavyoleta harufu, tatizo la 'mashine' pia linaweza kumalizika kwa usafi wa kina kwa kutumia medicated soap na pia ni vyema akafanye uchunguzi wa mkojo ili kujua kama ana maambukizi ya magonjwa yanayoweza kuchangia harufu kali, na ikigundulika ni hivyo basi atapatiwa dawa husika...kuhusu harufu ya mdomo kuna dawa za kusukutua ambazo zinasaidia kuua vimelea viletavyo harufu kali zinaitwa "mouth wash"....hizi zina nguvu ya ziada kuliko hizi dawa zetu za meno a.k.a kariakoo dent, lakini pia ni vyema kupata ushauri wa madaktari husika kwani inawezekan harufu ya mdomo inatokaka na vidonda vya tumbo vinaposababisha kitu kijulikanacho kama "perforated peptic ulcer"...kwa hiyo kama unampenda shemeji yetu basi ni vyema kwa utaratibu ukamshauri kutumia vidokezo hapo juu huku ushauri wa madaktari husika wa sehemu hizo i.e. Ngozi = dermatologist, mdomo - dentist na "maashine" - gynacologist

haya kaka...hizo ndo gharama za mapenzi....kila la heri....
hii imetuliaaaa jibu liko hapaaaaa
 
Baada ya kusota kwenye benchi la mapenzi kwa muda wa kama miezi minne na nusu, baada ya kupigwa kibuti na demu niliyempenda sana, hatimaye mwezi uliopita nimepata mwali mpya.
My sweet mwali ananipenda kwa dhati, nasema hivi kutokana na vile alivyo commited kwangu.
Anafanya kila kitu ambacho mwanamke bora inabidi amfanyie mumewe.
Tatizo huyo mwenzangu ana harufu kali sana ya kinywa, kwapa na mashine..
Hata kama ametoka kuoga muda huohuo na kupiga mswaki, harufu kali haimuishi wala kumpungua.
Nimsaidieje? Maana chafya zitaniua mwana wa mwenzenu.
Inaonekana wewe ni mtunzi mzuri sana, na hili tatizo sio la mwenzio, bali ni lako na hivyo unataka suluhisho la tatizo hilo...! huenda ndio linalikutesa usidumu kwenye mapenzi hata miezi mitano....! Aidha, katafute dawa fulani za miswaki za Alovera, zinauzwa kama 10,000 tu za kitanzania uwe unaswakia na uwe unameza kidogo, maana kuna bacteria zipo tumboni mwako....! Vinginevyo, kunywa dawa ya kutapika ili upunguze nyongo, huenda ndio imezidi tumboni pia....! La zaidi, waweza kumwona daktari kwa tatizo hilo....!
 
Hayo maelezo mengi unayopewa na wanajf hapa sijui kama utaweza kuyashika yote,shortcut MPIGE CHINI!!!
 
Ebana ilo taizo wanalo sana wanawake wengi mimi wa kwangu alikuwa na ilo tatizo kaogea sana hiyo detto lakini wapi mambo ni yaleyale tu...
 
Back
Top Bottom