Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,353
mmmh, we nshakushtukia ni nani, thread kama hii ilishakuja hapa umeamua tu kuileta kwa style ingine
ameichakachua thread yangu naona..
muwe mnatazama post za zamani kabla hamja post nyingine
Taadab'!
Mbaya wewe unaweza kumuumba kama huyo?
mmmh, we nshakushtukia ni nani, thread kama hii ilishakuja hapa umeamua tu kuileta kwa style ingine
Taadab'!
Mbaya wewe unaweza kumuumba kama huyo?
We kweli unachekesha kwanza lugha umetumia mbaya sana unaonyesha na wewe ni m-baya sana eti m-baya umemuumba wewe?!
Tatizo umeuzisha sana sura.
kuna likiwanda likubwa huko Japani linatengeneza magari aina ya Toyota.....labda ungejaribu kuwaambia wakutengenezee wa kwako....inawezekana
Hapa unafananisha mapenzi na uzuri!ubaya au uzuri is a very relative term. kuna mwenzio huko halali wala hanywi maji cozakiangalia glasi anauona huyo unayemuita mbaya! kalaghabaho!
wanawake wabaya wanakuwaje?