betting machine
Senior Member
- Aug 12, 2025
- 135
- 210
- Thread starter
- #161
Sijawahi kutoa bikra
Kwan mademu zako wngn uliopiga uliwatoa bikra?
Kwan mademu zako wngn uliopiga uliwatoa bikra?
Kaka naumia sana nahisi labda kwakua nilishindwa kumtoa ndio kaniachaSawa mkuu, itakuwa ngumu kunielewa.
The emotional body hai care events. Inacho angalia ni emotional intenseness. Ndo maana watu wawili wana weza kuumia tofauti
Kwan mademu zako wngn uliopiga uliwatoa bikra?
Kwa herufi kubwa gran Pah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona umeachwa jua kuna mjanja kapendwa na ukiona umependwa jua kuna fala kaachwa!
Mkuu, recently kumekuwa na tabia za vijana kuwa vilizi. Unadhani vijana wa zamani kina nyerere hawakukataliwa?Sawa mkuu, itakuwa ngumu kunielewa.
The emotional body hai care events. Inacho angalia ni emotional intenseness. Ndo maana watu wawili wana weza kuumia tofauti
Wee una kichaa au?Nawaza jana ameenda kwa jamaa usiku kucha sijalala nipo na maumivu
Ushauri mzurii huu.Kibinadamu i feel you,ni maumivu na lazima ukose usingizi
Umekataliwa kikatili,umenyimwa na mbaya zaidi kakutambia anaenda kuliwa na my love wake!
Cha kufanya mkaushie,usimtafute hata kwa bahati mbaya
Ikitokea mmekutana usioneshe kumjua
Utazoea tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah sidhani kama kuna ukweli yani Mashine imesimima ishindwe kutoa bikra mpaka ipelekwe Hospital
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kwel bwabwa cku 3 unashindwa kula mbunyeto kikao cha mwisho tulikubaliana demu akishaingia geto kaingia machinjion unakwama sanA
Sijawahi
Kaka naumia sana nahisi labda kwakua nilishindwa kumtoa ndio kaniacha
Ndo maana nikasema, it depends na mtu.Mkuu, recently kumekuwa na tabia za vijana kuwa vilizi. Unadhani vijana wa zamani kina nyerere hawakukataliwa?
Hata sisi tumekuwa tumekataliwa na haikuwa big deal.
Binafsi nilikuwa na baiskeli na nilikataliwa na mtoto mzuri mweupe ana wowowo na haikuwa big deal kwamba mpaka ulie.
Sio ukichaaa huo amekuwa numb because of pain.Ushauri mzurii huu.
Mkuu, nikuulize, wanawake wote uliotembea nao wote uliwapa wanachotaka hakuna ambao walipata wanachotaka kwa mwanaume mwingine? Najaribu kupata sababu kwanini iwe big deal.Ndo maana nikasema, it depends na mtu.
Mimi nimetoa mawazo yangu tu.
Kingine grieving sio weakness.. tambua Hilo wengi wanaoishia kumeza maumivu hiya pass on Kwa wengine. That's called trauma
Thank you so much , moja ya ushauri mzuri niliupata humu , najua wengine wataleta utani ila ni kweli naumia mpaka naona maisha nayakata tamaa , mpaka sasa hivi naumia natamani nimsemeshe ila ndio basi tena , maumivu haya nahisi hayatatoka maishani mwanguKibinadamu i feel you,ni maumivu na lazima ukose usingizi
Umekataliwa kikatili,umenyimwa na mbaya zaidi kakutambia anaenda kuliwa na my love wake!
Cha kufanya mkaushie,usimtafute hata kwa bahati mbaya
Ikitokea mmekutana usioneshe kumjua
Utazoea tu
Ana kichaa cha mapenzi.Wee una kichaa au?
sasa unaumia nini? kashakukataa huyo, kaza moyo mwanangu ukimbie.Habari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
Mkuu unajua mwili wa binadamu kweli?Mkuu, nikuulize, wanawake wote uliotembea nao wote uliwapa wanachotaka hakuna ambao walipata wanachotaka kwa mwanaume mwingine? Najaribu kupata sababu kwanini iwe big deal.
Ok mkuu, basi alie kama unavyosema maana sasa hakuna namna.Mkuu unajua mwili wa binadamu kweli?
Yes, nilisha umizwa. Ila pain inapungua kutokana na experience. Kwa situation yake inabidi awe mvumilivu
Ndio ujue mamb yanatakiwa yaende upesi😂🙌🏾duh mnachatigi manini? bora zamani sio siri! maana ukiwa idle ukaanza kuchat asubuhi hadi asubuhi lazima mtagombana maana mnaongea mpaka mambo ya msingi yanaisha! mnaishia kuibua ugomvi..
Hayawezi, kama hapo najua tu sipendwi napita hv🏃🏾🏃🏾🤣yatakukuta mambo
Safi sana... Ngoja akunyoshe kidogo... Umeshindwa kumchana bikra yake...baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Kwa kweli.Sio ukichaaa huo amekuwa numb because of pain.