Demu amenikataa ghafla sielewi kwanini

Demu amenikataa ghafla sielewi kwanini

kua tu kama ambulance lia huku unaendelea na ratiba zako hatuna mda wa kupoteza, hupendwi acha kuforce mwanetu,,

vipi kwanza umekumbuka kuoga na kuswaki?
 
Je tukijikusanya Hapa JF wanaume kama kumi hivi na kuja kukutandika risasi za kichwa mbili mbili tutakuwa tumekosea?...Unakuwa kama siyo mwanaume Bana.
 
Wapo wengi ila huyu ni bikra nilitaka nimuoe
Wewe ungeitoa hiyo bikra kwa kuforce Mwanaume unalala na demu mpaka Asubuhi kizembe, kakukataa kakuona mjinga wanawake wakija ghetto wanajifanya hawataki kutoa uchi kwakijifanya wakali hawataki kuguswa kumbe kimono moyo wanafurahia kufanyiwa vulugu mwisho wa siku wanaachia goli.
 
Habari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
Nadhani na wewe ni bikra pia. Maandiko yanasema MABIKRA WAWILI HAWAKAI ZIZI MOJA.
 
Pole sana kijana.
Kuna watu watakuambia get over it. Ila acha sonona ikuchome for a while. Acha maumivu yaingie. Kingine, she wasn't into you. Hata wewe uliona redflags. Usikurupuke kutafta mwingine. Grieve, lia, jilaumu, inshort accept umefeli. Umefeli kuamini mtu asiye kujali na kukuona. Take lessons to heart and you'll be okay
 
Acha maumivu yaingie. Kingine, she wasn't into you. Hata wewe uliona redflags. Usikurupuke kutafta mwingine. Grieve, lia, jilaumu, inshort accept umefeli.
Sasa Mkuu, hapa unamshauri alie, alie nini? Kupenda penda ni ulemavu mbaya sana wa akili.
 
Kwamba mtu ukimuoa bikra hawezi kukuacha?
Una uhakika kijana ?
Mtu anatoa bikra ya mtu na anachwa mchana kweupe

Hupaswi kuishi na mtu kisa ulimtoa bikra /alikutoa bikra maisha ni zaidi ya kulombana
Mwambie tu kila mwanamke hapa nchini alikuwa bikra hata hao wanaojiuza🤣
 
Sasa Mkuu, hapa unamshauri alie, alie nini? Kupenda penda ni ulemavu mbaya sana wa akili.
Mkuu, kiini Cha ushauri wangu ni kutokuwa na papara za ku move on kama watu wasemavyo. Sio mpka alie kama chizi, nacho maanisha achukue muda wake kukaa na emotions
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu, kiini Cha ushauri wangu ni kutokuwa na papara za ku move on kama watu wasemavyo. Sio mpka alie kama chizi, nacho maanisha achukue muda wake kukaa na emotions
Mkuu, hizo emotion ni za kawaida sana, zinakuja na kuondoka ila impact yake kwenye akili inategemeana na uzito unaozipa.
 
Mkuu, hizo emotion ni za kawaida sana, zinakuja na kuondoka ila impact yake kwenye akili inategemeana na uzito unaozipa.
To his case lazima azipe uzito, bearing in mind yule manzi alimtreat vizuri na kumpa kile anataka. Ili aweze ku move on lazima ajue na afikie emotional maturity. Sio kawaida Kwa anachopitia now
 
We kwel bwabwa cku 3 unashindwa kula mbunyeto kikao cha mwisho tulikubaliana demu akishaingia geto kaingia machinjion unakwama sanA
 
Back
Top Bottom