Demu amenikataa ghafla sielewi kwanini

Demu amenikataa ghafla sielewi kwanini

Nyinyi ilikiwa local,
Kwa sasa hiyo miezi 10 mnachat / kuonhea kila siku mnakuta a mara nyingi tuu ambavo ni tofauti na enzi zenu.
duh mnachatigi manini? bora zamani sio siri! maana ukiwa idle ukaanza kuchat asubuhi hadi asubuhi lazima mtagombana maana mnaongea mpaka mambo ya msingi yanaisha! mnaishia kuibua ugomvi..
 
Kijana naona una umri mdogo na unachipukia kwenye mapenzi, urafiki na ndoa. Kuachwa ni kawaida katika ishu hizi, hata wewe unaweza kuacha. Watu wanaachana kwenye ndoa sembuse urafiki na uchumba? Potezea mwanangu usiumie hata kama ulishindwa kumtoa bikra japo ulipata fursa adimu hiyo
 
Habari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
Pole sana,endelea kusaka uchumi kwa wivu mkubwa zaidi ya Irani wanavyolinda nchi yao.ukiwa stable financially usumbufu wa kukataliwa utapungua
 
mwanamke akikwambia hakupendi we fanya shuhuli zingine tu, hivi viumbe havitaniagi kwenye hisia zao.
 
Back
Top Bottom