Demu amenikataa ghafla sielewi kwanini

Demu amenikataa ghafla sielewi kwanini

To his case lazima azipe uzito, bearing in mind yule manzi alimtreat vizuri na kumpa kile anataka. Ili aweze ku move on lazima ajue na afikie emotional maturity. Sio kawaida Kwa anachopitia now
Ni kawaida mkuu, kwanini sio kawaida? yaani kuna kitu gani kinachofanya hilo tukio liwe la hatari lisilo la kawaida?
 
Mkuu hapo jamaa atakuwa traumatized. Lazima ataona kama kfanyiwa emotional abuse. Japokuwa yule manzi hana kosa.

Hujawahi kuumiza kwani? Au kupata loss ya kufiwa, kutengwa? Au kudanganywa na watu wa karibu?
 
Habari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
Sasa uneshindwa kumtoa bikira unaishia kugonga mashavu unadhani anagebaki na wewe kwa lipi wakati anaona huna unachoweza mdogo wangu ?
 
Ka
Mkuu hapo jamaa atakuwa traumatized. Lazima ataona kama kfanyiwa emotional abuse. Japokuwa yule manzi hana kosa.

Hujawahi kuumiza kwani? Au kupata loss ya kufiwa, kutengwa? Au kudanganywa na watu wa karibu?
Kwanini unasema manzi hana kosa
 
Habari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
Habari kijana mwenzangu mwana Afrika mashariki,
Twenzetu kwenye mada sasa tuichakate ki utu uzima, kwanza wewe bado mdogo na sio mdogo tuu bado mchanga sana kwenye industry ya mapenzi.
La pili wewe huna unachokijua kuhusu hawa viumbe wanawake 😂😁 Huruma ndio kitu hawajui kama una leta ubishi kasikilize KAMWAMBIE ya nasibu abdul au Mbagala utaona namna wanawake walivyo makatili hasa kwenye jambo linalohusu hisia zao.
Ushauri wangu vijana wa kiume tumekuwa wajinga sana na sio kosa lako ni mfumo umetufanya kuwa wajinga hivi na kumnyanyua Mwanamke kila kukicha bila shaka wewe huna father figure (mwanaume kamili wa kukushauri)
Watu tuliwahi kuachwa tena bila sababu ya msingi tena bila taarifa sio wewe mpka red flags uliziona 😂.

Mwisho wewe bado mdogo invest kwako mwenyewe kubali upweke ukujenge ukufanye uwe jasiri usikimbilie kusaka mbadala na cha mwisho kubali kubali kuumia ili maumivu ya kujenge
Samahani kwa uandishi mbovu niko shamba
Wako
Sakwe sakwe
 
Mkuu hapo jamaa atakuwa traumatized. Lazima ataona kama kfanyiwa emotional abuse. Japokuwa yule manzi hana kosa.

Hujawahi kuumiza kwani? Au kupata loss ya kufiwa, kutengwa? Au kudanganywa na watu wa karibu?
Hisia za kuachwa si jambo la ajabu, ajabu inatengenezwa na ubongo tu ila haikuwepo kabla.

Haya ya kufiwa hayafanani. Sasa mtu kaachwa na kadem kake utalinganisha na mtu kampoteza mama, mtoto, ndugu au rafiki kwa kifo?

Kudanganywa hakuna ajabu yoyote, unasikitika kwa kutingisha kichwa unaendelea na mambo mengine.
 
Unalala naye usiku mzima na hakujafanikiwa shida ilianzia hapo kuna jambo halipo sawa
 
Hivi huyo demu, yuko pekee humu nchini? Wewe geuka na uwe sukari ya walembo, atakufuata mwenyewe, mradi tu usisahau kinga, vinginevyo ngono zembe na madhara yake iko pembeni...
Jamaa namuona kama ni mjinga mwanamke unmfuatilia kama mama yako mzaz wakati mademu wapo kibao
 
Hisia za kuachwa si jambo la ajabu, ajabu inatengenezwa na ubongo tu ila haikuwepo kabla.

Haya ya kufiwa hayafanani. Sasa mtu kaachwa na kadem kake utalinganisha na mtu kampoteza mama, mtoto, ndugu au rafiki kwa kifo?

Kudanganywa hakuna ajabu yoyote, unasikitika kwa kutingisha kichwa unaendelea na mambo mengine.
Sawa mkuu, itakuwa ngumu kunielewa.
The emotional body hai care events. Inacho angalia ni emotional intenseness. Ndo maana watu wawili wana weza kuumia tofauti
 
Back
Top Bottom