Demu amenikataa ghafla sielewi kwanini

Demu amenikataa ghafla sielewi kwanini

Nina miaka 24,
Umechelewa kidogo kujua baadhi ya mambo lakini sio sana..
Kwenye maisha hakuna kiumbe muhimu zaidi ya ww mwenyewe.
Furaha yako inatokana na wewe..
Jifunze kukubali na kupokea kila jambo..
Mapenzi sio kitu cha kumpelekesha mtu mwerevu.
Papa ni mali yake ana haki ya kumpa mtu amtakae..
Mapenzi yasiwe kipaumbele kwako..
Jifunze kutumia akili kuliko hisia, huo mdio uanaume..
Mtu anavyokuja ndivyo unampokea..
Jifunze kupotezea, kama mtu haoneshi kuzingatia kwako..
Penda kupendwa kuliko kumnyenyekea mtoto wa mtu

Yapo mengi mnoo, tutakesha, chukua hayo..
 
Asante bro ila sijaelewa kwanini unasema nimechelewa kidogo
 
Na wewe 24

Ni hivi.wewe unampenda
Yeye hakupendi.
Mpo wawili.muache akajaribu huko anapoona panafaa.we utapata riziki yako huyo sio wako.
Hizo hasira za kuachwa kazielekeze kutafuta hela.mfute kabisa utapata mwingine!
Thanks nimempa hela nyingi sana na upendo mkubwa sana au unadhani kisa nilimjali kupita kiasi ndio akaniona sifai??
 
Back
Top Bottom