Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,597
- 86,093
sijui chochote kuhusiana na demographic background yao! itakubidi ukomae na huyo huyo huenda akasikia ndoa akapagawa!Je nitapata mwanamke bikra nimuoe maana nataka nioe
sijui chochote kuhusiana na demographic background yao! itakubidi ukomae na huyo huyo huenda akasikia ndoa akapagawa!Je nitapata mwanamke bikra nimuoe maana nataka nioe
mbona wapo ukikomaa unawapata!Ata mimi nikipata single mother bikra naoa
Baada ya kutajiwa umri umegundua nini sasaUshauri unaendana na umri, afya ya mtu, elimu yake, mahali anapoishi, chama chake cha siasa n.k
jamani mbona sisi tulikuwa tunafukuziwa hata miaka mi3 na bado hueleweki! sa miezi 10 tu brooo!Ndo uvumilie miezi 10😂🙌🏾 hapana
Ila wawe wa njombe tumbona wapo ukikomaa unawapata!
huo umri mapenzi huwa yanawaendesha sana! hebu relax kwanza usifanye maamuzi yoyote kwenye hiyo hali..No nifariji nipp serious akili haipo sawa kabisa
Umri gani ukifika unatuliahuo umri mapenzi huwa yanawaendesha sana! hebu relax kwanza usifanye maamuzi yoyote kwenye hiyo hali..
nenda njombe sasa hapa sio njombe!Ila wawe wa njombe tu
akikomaa kiakili tu atleast kuanzia 26-Umri gani ukifika unatulia
Umesema kweliakikomaa kiakili tu atleast kuanzia 26-
Nafikiria kuomba likizo ya dharura bintinenda njombe sasa hapa sio njombe!
pole bro, Usimtafute kabisa, hakupendi uyo !Nawaza jana ameenda kwa jamaa usiku kucha sijalala nipo na maumivu
Gen z wako haoo 😄ameshakwambia hakupendi usimlazimishe,
unataka nini tena hapo gentleman? huoni kinyaa anapokua kwa mwenzako na kisha tena kwako?
Kosa lako hapo ni kulazimisha mahusiano mahali usipopendeka. Full stop.🐒
Oya big,Naombeni mtoe maoni
Sio wa hovyo, huo uvumilivu sina😂Kijana wa hovyo kwenye moja na mbili
ndio zao..Huyo jamaa akimpa mimba usije ukaanza kulaani single mother. Move on.
iko wazi! huhitaji akili nyingi kuelewa hili, hujageuka hivi single maza,hujainama kidogo bikra..yaani vilio ni vingi!Umesema kweli
Ila nimegundua wanaume wanateseka kuliko tuna vyodhani wao ndio wanaongoza kwa nyuzi za malalamiko maskini
kila la kheri!Nafikiria kuomba likizo ya dharura binti