Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,387
- 7,541
Kama unataka kujua tatizo basi tatizo lenyewe ndo hilo hapo.akasema hanipendi nisimlqzimishe
Kiufupi ulikuwa unafanya ubakaji na ulawiti. Ni kosa kisheria
Kama unataka kujua tatizo basi tatizo lenyewe ndo hilo hapo.akasema hanipendi nisimlqzimishe
Naamini ningeitoa asingeniachaso you are curious kuitoa tu sio?
Unataka kugundua nini 😆1.Umri wako tafadhali..
2.Ambatanisha cheti chako cha kuzaliwa.
3.nida,
4.passport size 3,
5. barua ya mtendaji yenye saini ya mwenyekitinwa mtaa na mjumbe wako wa shina
6. Historia yako ya matibabu.. vyeti vya hospital
Toka mwaka Jana mnasumbuana tu😂🙌🏾 . DaahHabari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
sio kweli mdogo'etuNaamini ningeitoa asingeniacha
Hapana.nahisi bado hajui Nini anachokitaka.Thanks nimempa hela nyingi sana na upendo mkubwa sana au unadhani kisa nilimjali kupita kiasi ndio akaniona sifai??
vijana wenzenu wavumilivu sio nyinyi wa siku mbili unatongoza mwingine!T
Toka mwaka Jana mnasumbuana tu😂🙌🏾 . Daah
Ni kweli watu wanasemasio kweli mdogo'etu
Acha kummpiga maswali kama ya oral interview ni chaguo lakeunamuoa mwanamke kwa uzingatia bikra au kwa kuwa upo tayri kuoa?
like seriously unakuwa na mwanmke kwasababu za kusikia sikia na sio kuona? unahisi kuna mwanamke hakuwa bikra?Ni kweli watu wanasema
woiii.. sawa nimemuacha!Acha kummpiga maswali kama ya oral interview ni chaguo lake
Je nitapata mwanamke bikra nimuoe maana nataka nioelike seriously unakuwa na mwanmke kwasababu za kusikia sikia na sio kuona? unahisi kuna mwanamke hakuwa bikra?
Ata mimi nikipata single mother bikra naoawoiii.. sawa nimemuacha!
Ndo uvumilie miezi 10😂🙌🏾 hapanavijana wenzenu wavumilivu sio nyinyi wa siku mbili unatongoza mwingine!
No nifariji nipp serious akili haipo sawa kabisawoiii.. sawa nimemuacha!
Kwamba mtu ukimuoa bikra hawezi kukuacha?Ni kweli watu wanasema
Kijana wa hovyo kwenye moja na mbiliNdo uvumilie miezi 10😂🙌🏾 hapana
Ushauri unaendana na umri, afya ya mtu, elimu yake, mahali anapoishi, chama chake cha siasa n.kUnataka kugundua nini 😆