betting machine
Senior Member
- Aug 12, 2025
- 135
- 210
unamuoa mwanamke kwa uzingatia bikra au kwa kuwa upo tayri kuoa?Wapo wengi ila huyu ni bikra nilitaka nimuoe
Bikra ndio kigezo kikuu changu kwenye kutafuta mwanamkeunamuoa mwanamke kwa uzingatia bikra au kwa kuwa upo tayri kuoa?
Nimeachika ila kinachoniumiza ni kwanini anikataeUkiachwa Achika Sasa
then what next?Bikra ndio kigezo kikuu changu kwenye kutafuta mwanamke
Ndio mimi nilimpenda kwakua ni bikramlisema hamuoi malaya mnaoa bikra hawana ex, muite mwenyekiti wenu akushauri1 Natafuta Ajira
I prefer purity not used trashesthen what next?
hujawahi kukataliwa?Nimeachika ila kinachoniumiza ni kwanini anikatae
basi nenda kakomae mpaka umuoe!I prefer purity not used trashes
Niliwahi ila sio ghafla hivihujawahi kukataliwa?
Jana ameenda kulala na jamaabasi nenda kakomae mpaka umuoe!
pole sana!Niliwahi ila sio ghafla hivi
Ushauri unaendana na umri wa mtu, historia yake ya matibabu n.k..Kaka nipe maoni nipo na majonzi
Nime maoni
Asantepole sana!
Kaka achana nae huyo ana backup inayompa kiburi shukuru mzee utunze pesa zako sehemu salamu nenda na beat utampata mtu sahihi usilalamikeIvi ni kwanini demu nimempenda sana ila ananikataa kikatili
atakuwa hajafanikiwa, komaa umuoe kabla haijatolewa na jamaa..Jana ameenda kulala na jamaa
Nina miaka 24,Ushauri unaendana na umri wa mtu, historia yake ya matibabu n.k..
Hebu jaza hapo juu tukupe ushauri mdogo wetu.
Sometimes hakuna makosa bali ni hisia huishaDah unadhani nilikosea wapi