Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

Demu akikublock kwenye simu kisa ahadi

Yaani kama usemavyo yaweza kuwa umri mdogo sana of which hatakiwi kuwa hata na mpenzi kwa style hii!!!!!
Kama ni mtu mzima anataka ushauri kwa kesi hii unamuita mgahawani mnaagiza unakula kidogo halafu unatimua kabisaaaa alipe bill na ushauri kakosa atajiongeza mbele ya safari huko!!!!
Ngoja niku block!!!
 
ahadi ni nia since when?,?????
mpaka unatoa ahadi means una uwezo wa kutimiza ahadi ni deni na usipotimiza unajipunguzia vigezo atiii
kama ahadi ni uwezo basi hakuna haja ya kuahidi bali kutoa hapo hapo, otherwise ahadi inabaki kuwa nia
 
Siku ukijitutumua tu .....:A S 101::A S 101:utakutana na "nani mwenzangu au naongea na nani" halafu uanze yaani namba yangu umefuta!!!!??????
Aah wapi!!
Nakwambia sorry,wrong number!!
Then na delete contact.
 
Back
Top Bottom