Demokrasia ya Russia...ya kupigiwa mfano

Demokrasia ya Russia...ya kupigiwa mfano

Hata kama Umeshinda Uchaguzi nchini Russia na ukawa Rais ukigundulika una akaunti nje ya nchi ya kifedha ama amana/securities ambayo ni active; Tume ya uchaguzi ya nchi hiyo inafuta matokeo ya Urais.

Russian elections boss says presidential poll results could be cancelled and vote re-run
=====

Najiuliza hapa kwetu wangapi walikuwa na akaunti nje ya nchi zikiwa hai waligombea na walikuwa na nia ya kuwa urais 2015? Yawezekana M/kiti wa tume huko Zanzibar pamoja na mambo mengine aliligundua hili!?
 
Back
Top Bottom