Demokrasia ya Russia...ya kupigiwa mfano

Sawa...tufafanulie, Mkuu, siasa za huku Russia na watu wake. Wewe utakuwa ni mtaalamu wa siasa za Urusi na Putin. Jukwaa litafaidika sana na elimu yako.

Karibu.
Anajua wap mkuu!!
Changamoto moja ya Jf n kwamba 'wachamba kwingi' wengi.
Hata asojua hili wala lile ajifanya mjuv wa mambo
 
Sawa...tufafanulie, Mkuu, siasa za huku Russia na watu wake. Wewe utakuwa ni mtaalamu wa siasa za Urusi na Putin. Jukwaa litafaidika sana na elimu yako.

Karibu.
Kama huamin angalia udadavuz wenyewe sasa kwny #5
 
Putin opponent Alexei Navalny in Russia election ban | Daily Mail Online

Huyu ndio alikua kidogo anaweza kuleta upinzani kwa putin. Hawa wengine wote sio tishio ndo mana wameruhusiwa kugombea.
Tumjue kwanza Navaln, Alexei ni nani.
----
Early life and career (From Wikipedia)
Navalny is of Russian and Ukrainian descent. His father is from Zalissia, a village in Ivankiv Raion, Kiev Oblast, Ukraine. Navalny grew up in Obninsk about 100 km southwest of Moscow, but spent his childhood summers with his grandmother in Ukraine. His parents, Anatoly Ivanovich Navalny and Lyudmila Ivanovna Navalnaya, own a basket-weaving factory in the village of Kobyakovo, Moscow Oblast, which they have run since 1994.

Navalny graduated from the Peoples' Friendship University of Russia in 1998 with a law degree. He then studied securities and exchanges at the Finance University under the Government of the Russian Federation. Navalny received a scholarship to The Yale World Fellows Program at Yale University in 2010.
In December 2010, Navalny announced the launch of the RosPil project, which seeks to bring to light corrupt practices in the government procurement process

July 18, 2013 (from Washington Post)

MOSCOW — Russia’s most effective anti-corruption campaigner and opposition leader (Alexei) was found guilty of embezzlement Thursday and sentenced to five years in prison in a verdict that sent shock waves throughout the country.

The conviction of Alexei Navalny, 37, a leading critic of President Vladimir Putin with a penchant for exposés and cutting jibes, brought condemnation from those who view the case as politically driven. Opponents said it showed that Putin recognizes few bounds in his determination to crush challengers.

Michael McFaul, the U.S. ambassador to Russia, posted on Twitter: “We are deeply disappointed in the conviction of Navalny and the apparent political motivations in this trial.”

=====
Kwa kifupi na kirefu vurugu za Alexei Navalny zilipamba moto alipotia mguu Yale University (a US varsity). Na unaweza kuona anapewa umuhimumkubwa na wawakilishi wa US. Kati ya mwaka 2010 mpaka 2013 alikaribia kuhatarisha diplomasia na maslahi ya Russia kwa kujaribu kuibua taarifa alizozitia pika na kutia chumvi nyingi kwa manufaa yake anayoyajua yeye. Taarifa hizo zililenga kuhatarisha uhusiano kati ya Urusi na Hungary pamoja na ule wa Urusi na Czech Republic. Lengo moja la kutaka kuzigombanisha Moscow na Budapest ni kuhakikisha mradi wa bomba la gesi kupitia Hungary kwenda EU unakufa, Aleksey(Alexei) alichemka hapa. Mwanasiasa huyu ni maarufu sana kwenye vyombo vya habari vya magharibi, usiniulize sana kwa nini.

Alexei...alitumia 'ushawishi' wake kutaka kuua kampuni ya magogo ya taifa la Urusi kwa kumdanya meneja wa kampuni kuingia mkataba usio na manufaa. Hiyo ilikuwa 2009 wakati akijiandaa kwenda Yale (nadhani merit yapewa fellowship na Yale yaweza kuwa hii). Alitiwa korokoroni kwa kosa hili ila kapewa msamaha wa kuhairisha kifungo chake! Chakushangaza hakukata rufaa.

Na kwa sheria za Russia mtu aliyehairishiwa kifungo haruhusiwi kugombea Urais.

Kwa maelezo zaidi juu ya Ndugu Alexei Navalny waweza kutembelea:-
Anti-corruption blogger Navalny sentenced to 5 years behind bars for embezzlement
Western media coverage of Navalny & Le Pen shows breathtaking hypocrisy
 
wewe ndio hewa...
Putini amekuwa rais mihula mingapi na waziri mkuu mihula mingapi???????
alikuwa akipokezana na nani kipindi chote????????
Mwalimu wangu hapa JF ( Nguruvi3 ) alinifundisha kuwa Demokrasia ni mfumo wa utaratibu jamii ilioukubali kujiendesha hasa kiutawala/uongozi wa jamii hiyo. Urusi walikubaliana kidemokrasia kujiongoza kwa staili hiyo. Na Tanzania tumekubaliana kujiongoza kwa stahili hii. Demokrasia siyo sawa kwa nchi zote....ndiyo maana UK wana Malkia (Familia ndiyo inaamua hatima yake) na waziri Mkuu lakini US hawana Malkia wala mfalme. Uganda nao wana demokrasia yao...nakadhalika na kadhalika. Demokrasia huwezi kui'copy' US ama Germany ukai'paste' hivyo hivyo Urusi ama Tanzania haiwezekani na haitakaa iwe. Kenya wenyewe 'wamejaribu kukopi ya US' kupitia katiba mpya lakini imewashinda...kutekeleza (rejea uchaguzi uliopita nchini humo)!!!
 
Hata Dr. Shika angekua bado Russia angegombea urais kama mgombea mwenza tu...
 
Kama kweli angekuwa anakidhi vigezo kwa demokrasia ile ya Russia angeruhusiwa....(I hope you are not trying to be sarcastic, uh!)
 
Tumjue kwanza Navaln, Alexei ni nani.
----
Early life and career (From Wikipedia)
Navalny is of Russian and Ukrainian descent. His father is from Zalissia, a village in Ivankiv Raion, Kiev Oblast, Ukraine. Navalny grew up in Obninsk about 100 km southwest of Moscow, but spent his childhood summers with his grandmother in Ukraine. His parents, Anatoly Ivanovich Navalny and Lyudmila Ivanovna Navalnaya, own a basket-weaving factory in the village of Kobyakovo, Moscow Oblast, which they have run since 1994.

Navalny graduated from the Peoples' Friendship University of Russia in 1998 with a law degree. He then studied securities and exchanges at the Finance University under the Government of the Russian Federation. Navalny received a scholarship to The Yale World Fellows Program at Yale University in 2010.
In December 2010, Navalny announced the launch of the RosPil project, which seeks to bring to light corrupt practices in the government procurement process

July 18, 2013 (from Washington Post)

MOSCOW — Russia’s most effective anti-corruption campaigner and opposition leader (Alexei) was found guilty of embezzlement Thursday and sentenced to five years in prison in a verdict that sent shock waves throughout the country.

The conviction of Alexei Navalny, 37, a leading critic of President Vladimir Putin with a penchant for exposés and cutting jibes, brought condemnation from those who view the case as politically driven. Opponents said it showed that Putin recognizes few bounds in his determination to crush challengers.

Michael McFaul, the U.S. ambassador to Russia, posted on Twitter: “We are deeply disappointed in the conviction of Navalny and the apparent political motivations in this trial.”

=====
Kwa kifupi na kirefu vurugu za Alexei Navalny zilipamba moto alipotia mguu Yale University (a US varsity). Na unaweza kuona anapewa umuhimumkubwa na wawakilishi wa US. Kati ya mwaka 2010 mpaka 2013 alikaribia kuhatarisha diplomasia na maslahi ya Russia kwa kujaribu kuibua taarifa alizozitia pika na kutia chumvi nyingi kwa manufaa yake anayoyajua yeye. Taarifa hizo zililenga kuhatarisha uhusiano kati ya Urusi na Hungary pamoja na ule wa Urusi na Czech Republic. Lengo moja la kutaka kuzigombanisha Moscow na Budapest ni kuhakikisha mradi wa bomba la gesi kupitia Hungary kwenda EU unakufa, Aleksey(Alexei) alichemka hapa. Mwanasiasa huyu ni maarufu sana kwenye vyombo vya habari vya magharibi, usiniulize sana kwa nini.

Alexei...alitumia 'ushawishi' wake kutaka kuua kampuni ya magogo ya taifa la Urusi kwa kumdanya meneja wa kampuni kuingia mkataba usio na manufaa. Hiyo ilikuwa 2009 wakati akijiandaa kwenda Yale (nadhani merit yapewa fellowship na Yale yaweza kuwa hii). Alitiwa korokoroni kwa kosa hili ila kapewa msamaha wa kuharisha kifungo chake! Chakushangaza hakukata rufaa.

Na kwa sheria za Russia mtu aliyeharishiwa kifungo haruhusiwi kugombea Urais.

Kwa maelezo zaidi juu ya Ndugu Alexei Navalny waweza kutembelea:-
Anti-corruption blogger Navalny sentenced to 5 years behind bars for embezzlement
Western media coverage of Navalny & Le Pen shows breathtaking hypocrisy
Ndugu sijaelewa neno hili "aliyeharishiwa" au ni lugh ya Urusi?
 
Image result for russian opposition leader
In 2012, The Wall Street Journal described him as "the man Vladimir Putin fears most". A self-described nationalist democrat, Navalny is a Russian Opposition Coordination Council member and the leader of the political party Progress Party.
Alexei Navalny - Wikipedia
 
Tume ya uchaguzi hairuhusu mgombea yoyote bila kupewa ruhusa kutoka kwa putin mwenyewe. Mgombea yoyote ambae ni tishio kwa putin anabambikizwa kesi ya ufisadi na kuzuiwa kushiriki uchaguzi. Democracy ya Russia bado sana hata Tanzania tuna democracy nzuri kuliko hawa waigizaji
Urusi yalishawakuta ya kuwakuta, ngoja wawe hivyo tu. Ni gharama kubwa sana kuirejesha nchi kwenye msitari.
 
Mwalimu wangu hapa JF ( Nguruvi3 ) alinifundisha kuwa Demokrasia ni mfumo wa utaratibu jamii ilioukubali kujiendesha hasa kiutawala/uongozi wa jamii hiyo. Urusi walikubaliana kidemokrasia kujiongoza kwa staili hiyo. Na Tanzania tumekubaliana kujiongoza kwa stahili hii. Demokrasia siyo sawa kwa nchi zote....ndiyo maana UK wana Malkia (Familia ndiyo inaamua hatima yake) na waziri Mkuu lakini US hawana Malkia wala mfalme. Uganda nao wana demokrasia yao...nakadhalika na kadhalika. Demokrasia huwezi kui'copy' US ama Germany ukai'paste' hivyo hivyo Urusi ama Tanzania haiwezekani na haitakaa iwe. Kenya wenyewe 'wamejaribu kukopi ya US' kupitia katiba mpya lakini imewashinda...kutekeleza (rejea uchaguzi uliopita nchini humo)!!!
Alichokufundisha mwalimu wako wa JF alikitoa kwa Nyerere. Unatarajia mtu ambaye ametoka kuwaondoa wakoloni akiwa bize kustabilize nchi na kuward off mapinduzi aitafsri vipi demokrasia?
 
Hahaha,watu wasiyo elewa bana.Yaani leo demokrasia ya Russia ndio ya mfano?..Hahaha One Man show.
 
wewe ndio hewa...
Putini amekuwa rais mihula mingapi na waziri mkuu mihula mingapi???????
alikuwa akipokezana na nani kipindi chote????????
Hajielewi hata anachoandika ni nini aisee.Ukiona mpinzani anagombea urais Russia basi ujue siyo threat kwa Putin.Kama akiwa threat anakuwa neutralized mapema mno.
 
Wagombea urais wanamwagiana maji kwenye mdahalo na maisha yanaendelea. Huwezi kupata demokrasia hiyo US!

Back
Top Bottom