Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Kama ccm mngekuwa na huu upendo unaotaka kutufundisha hapa tusingekuwa tunashuhudia mkiwaamrisha policcm kurusha vitu vyenye ncha kali katika mikutano yetu.
Kama maccm mngekuwa na adabu kiasi hiki unachotaka kutuaminisha hapa msingekuwa mnahaha kila kukicha kumshinikiza dppccm kuwafungulia mashitaka ya kubumba ya ugaidi dhidi ya wanachama wenzetu.
Kwa ufupi ni kwamba Chadema hatuhitaji kuwaheshimu viongozi wajinga wasiothamini uhai wa wananchi wengine wasiounga mkono ccm na hivyo kuamua kuwalipua na mabomu.
Kilichopo sasahivi tutakwenda na ninyi hivi hivi jino kwa jino hadi hapo mtakaposhika adabu yenu. Hakuna kucheka na wauaji hata mara moja kwakuwa hata sisi ni haki yetu kuishi kwa uhuru na amani katika nchi yetu.