Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Wakati ukiwa kwenye vikao vyenu vya ndani ya chama fanya hivi Geuka nyuma yako kushoto na kulia wambie maneno hayo hayo kuwahusu wapinzani wao afu urudi ututaarifu wamekujibu nini tutaanzia hapo kuhusu demokrasia vinginevyo ni porojo tuu Mh. @W.J. Malecela
 
We huwa unasalimiana au kuzungumza na Lusinde? Kama huwa mwazungumza basi ni kinafiki tu
 
- Ni mtizamo finyu sana, kwa sababu ni hao hao wagoni wako ndio walioruhusu ukawepo imagine na wao wangekuwa na mawazo kama yako ungekuwepo?

Le Mutuz
ufanye urafiki na mgoni wako mbona mwigulu kakataliwa urafiki na jamaa wa Igunga
 
Yaani nisalimiane na mtu aliyenipiga mabomu ili nife?na ningekufa angemsalimia nani?Si unafiki wa wazi kabisa huu?
 
Haya maneno yako siyo ya kweli....

H2j4p9OCBMmPSxVbQAVL_L07NsMo3uOwkumWeet_t2U


FuUwMxY5ZUtGXZe0mDdjDmF-b7JU3qpS4PjGEHlekBM


lP-wz9x3V9Fnq_vIbcukIicz1UZg6d79iGVr5SDEoHU


Unless wewe ndiye mwenye GUBU...
 
Haya bwana Le Mutuz kama kweli wewe na Kijani wenzio mnauchungu na Jamii!
Lakini usisikitike katika maisha kuna kanuni kuwa huwezi kuishi au kuwa na mashirikiano na mwizi.Ebu tusaidie wewe Mgoni wako utataka usalimiane naye ?


Huo ni mtazamo wangu watakuja wengine.
Mkuu umeambiwa siasa, sasa mifano mgoni inakujaje.
 
- Ni mtizamo finyu sana, kwa sababu ni hao hao wagoni wako ndio walioruhusu ukawepo imagine na wao wangekuwa na mawazo kama yako ungekuwepo?

Le Mutuz

Umeona la Mgoni tu je na mwizi na mlipu bomu utashikanana naye kwa Roho safi au kinafiki?.
Najua jibu unalo ila tu kwa sababu kuna haja ya kuipigania Tumbo sisi tulioumbwa na Unafiki na Ubinafsi si rahisi kujitambua .
 
Haya bwana Le Mutuz kama kweli wewe na Kijani wenzio mnauchungu na Jamii!
Lakini usisikitike katika maisha kuna kanuni kuwa huwezi kuishi au kuwa na mashirikiano na mwizi.Ebu tusaidie wewe Mgoni wako utataka usalimiane naye ?


Huo ni mtazamo wangu watakuja wengine.
Mkuu umeambiwa siasa, sasa mifano mgoni inakujaje.
 
wanatusumbua kweli mtaani.hawataki wengine wajadili hata kama ni suala la wazi wao hawakubali.
na ndio maana wanaposhindwa uchaguzi macho yanakuwa mekundu kama nyanya."bifu ktk siasa haifai" ukisikia tangazo hili mjulishe na mwenzio.
 
Hivi mkuu haya maneno yanatoka kwako kweli? Hivi wewe si ndio unaongoza katika blog yako na katika fb yako kujisifu kuwa delete watu wanaopingana na wewe? Mtu akiku challenge kwenye blog yako au fb yako si huwa unamfuta urafiki wewe?
 
hizo nasaha ingekuwa vizuri kama ungezielekeza kwa hawa wafuatao lusinde,nkamia,nchemba,kingwangala,serukamba,nape, nk

je wewe unasemaje? raisi kutolewa maneno machafu pale mwembe yanga na kum2k@na kule zanzibar.
unaona ni siasa au na wewe ndio walewale waliokula ya mbuzi.
 
Haya bwana Le Mutuz kama kweli wewe na Kijani wenzio mnauchungu na Jamii!
Lakini usisikitike katika maisha kuna kanuni kuwa huwezi kuishi au kuwa na mashirikiano na mwizi.Ebu tusaidie wewe Mgoni wako utataka usalimiane naye ?


Huo ni mtazamo wangu watakuja wengine.

kwa hali hii mtaendelea kukubalika na wahuni wezenu.wazee wa ndole ma!!.
 
- Viongozi wa Chadema badilikeni au fanyeni semina za kuelemishana kuhusu hii tatizo kubwa sana ambalo linawasumbua na kuwatafuna sana, sio ustaarabu kwani huwa mnawatukana sana viongozi wengine lakini hatuwakimbii wala kuwaogopa kwa sababu tunajua kuna siasa na kuna sisi as binadam na wananchi wa Tanzania ambao tunahitaji kuwaongoza wananchi wengine, sasa tusiwafundishe kuwa kutofautiana kiitikasi ni uadui.

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

Le Mutuz

kwanza hata zielewi guts za kuwaambia CHADEMA hayo zinztoka wapi, Je ni kiwi cha macho au upofu kabisa.
anzeni upatanisho ndani ya chama CHENU CHA CCM
1012031_4547819753663_1823571481_n.jpg
 
Le Mutuz, HAMY-D, Mnataka CHADEMA wawavumilie mnao ua Tembo wetu? Mnataka wawavumilie kukwapua dhahabu, tanzanite, uranium, nickel, gas bure bure huku wananchi mkiwaacho dhooof masikini wa kutupwa? Mnataka demokrasia ya ninyi kuendelea kua raia, waandishi wa habari, kutesa madaktari? tuwavumilie kwa kuzalisha taifa la vilaza?...
Demokrasia gani unayoizungumzia yenye kutupandishia gharama za maisha kila kukicha? hivi wewe mwizi anakemewa ama anakumbatiwa? labda kwa ninyi CCM mnatafsiri nzuri ya demokrasia ambayo inatumika kwa ukoo ule wa panya maana wote wezi...please be informed kuwa haitakaa hata siku moja sisi walala hoi tukawachekea tena ...wezi wakubwa msiokuwa na haya kwa mali za watanzania....
 
Hapa suala sio kutofautiana kimitazamo.Tungekuwa tunatofautiana kuhusu rasilimali za nchi zitumikeje kusingekuwa na uadui.Ikumbukwe CHADEMA wanazungumzia habari za majambazi waliojificha ndani ya CCM,wanazungumzia watu wanaowateka na kuwatesa,wanazungumzia watu wanaowapiga mabomu na kuwaua,alafu ETI we unataka nikishasema jukwaani FULANI anataka kuniua nikishuka jukwaani nimtafute na kumkumbatia muuaji wangu!!!!THINK BIG MY FRND.
 
Back
Top Bottom