Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Hapa suala sio kutofautiana kimitazamo.Tungekuwa tunatofautiana kuhusu rasilimali za nchi zitumikeje kusingekuwa na uadui.Ikumbukwe CHADEMA wanazungumzia habari za majambazi waliojificha ndani ya CCM,wanazungumzia watu wanaowateka na kuwatesa,wanazungumzia watu wanaowapiga mabomu na kuwaua,alafu ETI we unataka nikishasema jukwaani FULANI anataka kuniua nikishuka jukwaani nimtafute na kumkumbatia muuaji wangu!!!!THINK BIG MY FRND.

Le Mutuz, hivi wabunge/viongozi wa chadema kudhungumza/kutodhungumza na wabunge/viongozi wa ccm kuna kuna faida gani kwa taifa? au baba ako mzee malecela/mama ako anna kilango kutukanwa kuna faida gani kwa taifa hili?

Hacha zako wewe Le Mutuz na hacha umbu mbumbu, sisi watz tunachokitaka ni kuona rasilimali zetu zikitunufaisha wote kwa usawa.
 
- Ni mtizamo finyu sana, kwa sababu ni hao hao wagoni wako ndio walioruhusu ukawepo imagine na wao wangekuwa na mawazo kama yako ungekuwepo?

Le Mutuz
Le Mutuz, hivi wabunge/viongozi wa chadema kudhungumza/kutodhungumza na wabunge/viongozi wa ccm kuna kuna faida gani kwa taifa? au baba ako mzee malecela/mama ako anna kilango kutukanwa kuna faida gani kwa taifa hili?

Hacha zako wewe Le Mutuz na hacha umbu mbumbu, sisi watz tunachokitaka ni kuona rasilimali zetu zikitunufaisha wote kwa usawa
 
Ndugu Le Mutuz haya unayoyaleta hapa nadhani ungeyapeleka ndani ya CCM ambapo kumejaa ukiritimba na hujuma zisizo na mfano..Unakumbuka alichofanyiwa baba yako 2005? Na naomba uelewe kuwa kuna kitu kinaitwa itifaki..Huwezi kukutana na mh. Mbowe then akakufuata wewe akusalimie..Naona umeleta hii mada kwa makusudi na una ajenda binafsi iliyosukumwa na uchu! hasa ukijifikirisha minong'ono iliyoanza ya kupanguliwa ma-dc..Jitahidi ingawa unayo nafasi finyu sana kwenye huo mpango wa ma-dc kama ni kweli!
 
Huo ni unafiki. CCM ni wanafiki kuanzia mwenyekiti wake wa Taifa mpaka wa kijiji.

Mfano mzuri ni JK anajaribu kusuluhisha amani kwa nchi nyingine wakati kwake kunawaka moto. Anapewa ushauri na kupiga picha na wapinzani au katika hotuba zake anadai amani ni kipau mbele chake lakini katika vikao vya ndani na maazimio yake ni kinyume.

Acheni unafiki kwanza. Kama mnaweza kujibu mapigo ya wapinzani, mjibu kwa hoja. Sio kutumia police na state organs kukandamiza haki.
 
Le Mutuz, HAMY-D, Mnataka CHADEMA wawavumilie mnao ua Tembo wetu? Mnataka wawavumilie kukwapua dhahabu, tanzanite, uranium, nickel, gas bure bure huku wananchi mkiwaacho dhooof masikini wa kutupwa? Mnataka demokrasia ya ninyi kuendelea kua raia, waandishi wa habari, kutesa madaktari? tuwavumilie kwa kuzalisha taifa la vilaza?...
Demokrasia gani unayoizungumzia yenye kutupandishia gharama za maisha kila kukicha? hivi wewe mwizi anakemewa ama anakumbatiwa? labda kwa ninyi CCM mnatafsiri nzuri ya demokrasia ambayo inatumika kwa ukoo ule wa panya maana wote wezi...please be informed kuwa haitakaa hata siku moja sisi walala hoi tukawachekea tena ...wezi wakubwa msiokuwa na haya kwa mali za watanzania....
Mkuu Ilboru 1995, (Medukenya/Mzule) Rungwe, Meru, Hanang nk) Ilboru family napenda kwa mchango wako. Tumelishwa chakula kibaya sana pale shuleni, huku CCM na Viongozi wake wakiiba pesa zetu. Tulipojaribu kudai haki yetu, Policcm wakaja kutupiga na kutuweka uwanjani kama wakimbizi. Lilikuwa jambo la kutusikiliza, lakini CCM na serikali yao imejaa ubabe. Siwapendi hawa jamaa wa Lumumba
 
Khaaaah......Willy nahisi sijakuelewa mkuu.Sijui ni kwamba unashindwa kuitenganisha siasa na personal affair ama ni nini?Kumbuka baba yako akiwa waziri mkuu au mbunge haonekani kama Baba Willy tena.Akiwa Makamu mwenyekiti wa chama cha Siasa haonekani kama baba Wily.Sasa unapoleta hoja kuwa mzazi wangu halafu wengine unawataja kama viongozi wa CHADEMA nakua katika dilemma.Kwanini hao viongozi kama ni Dr.Slaa basi usiwataje kama baba Junior au kama ni Zitto basi umtaje kama Baba Chachage?
 
Hivi mkuu haya maneno yanatoka kwako kweli? Hivi wewe si ndio unaongoza katika blog yako na katika fb yako kujisifu kuwa delete watu wanaopingana na wewe? Mtu akiku challenge kwenye blog yako au fb yako si huwa unamfuta urafiki wewe?

He! Mnapata hata muda wa kutembelea blog ya Wille? Kweli Tanzania hakuishi vimbwanga
 
Mkuu ujumbe mzuri, lakini anza kuupeleka kwa viongozi wako wa ccm kama mwigulu nchemba, maana ameingiza ukabila kwa wanyiramba kuwatisha kuwa wasijiunge na chadema!
 
Yaani utumbo wote huu ni sababu ya tetesi kwamba kuna uteuzi mpya wa Wakuu wa Wilaya! Hivi unataka kuwaambia waTanganyika kwamba hujui sababu ya baba yako kusakamwa na waTanganyika? Kwamba waTanganyika hawajui kwamba baba yako ni mmoja kati ua DHULUMATI wakubwa wa mafao ya wafanyakazi wa iliyo kuwa JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI?

NA kama Demokrasia ndio hiyo uliyo itaja hapo juu, ilikuwa Mwl. Nyerere hakumvumilia baba yako pale alipo mtoa BERENGE mara mbili alipo kubali hoja ya G55 na pale alipo tiwa maji na kuitwa JUMANNE ili agombee uraisi???!!!

ACHA HIZO TUSIJE KUKUUMBUA BURE HUMU JAMVINI. Hoja zako mfu jadiliana na vilaza wenzako huko MAGAMBANI, na huna uhalali wowote wa kuisemea CHADEMA.
 
je wewe unasemaje? raisi kutolewa maneno machafu pale mwembe yanga na kum2k@na kule zanzibar.
unaona ni siasa au na wewe ndio walewale waliokula ya mbuzi.

maneno gan rais alitukanwa? Kuitwa fisadi ndo matusi? Hivi mbona ccm mnalalamika sana wakati bado 2015.hivi lowasa na sita wanaelewana? Hivi lowasa na kikwte vp? Hiv Nape na lowasa vpi?
 
Hakuna UNAFIKI HAPA.....kwa nini ucheke na WEZI na WAUWAJI......Hakuna kitu naichukia kama CCM na Watu wake.....Naichukia kuliko hata shetani
 
- Ni mtizamo finyu sana, kwa sababu ni hao hao wagoni wako ndio walioruhusu ukawepo imagine na wao wangekuwa na mawazo kama yako ungekuwepo?

Le Mutuz

mkuu, kwa wewe nadhani kama ni kitabu utakuwa unasoma kuanzia chini kuja juu! jamii nzima inajua kuwa hilo tatizo ni la CCM na wanachama wake, wewe unaongea kinyume? hujawahi kusikia mnafanyaga mauaji na mnaamini mpinzani ni adui? CHADEMA hawaamini kuwa mpinzni ni adui, hebu kama una "uchungu" oups sorry manaake Lusinde alisema nyie hamnaga uchungu, ongea na wanachama wenzio, haswahaswa viongozi wako, hiyo ndio itakuwa demokrasia, waache hata kuwaamulu polisi kuuww adui"wapinzani"
 
images

SabodoMbowe.jpg
 
303662_399883380095662_190985035_n.jpg

- Kwa muda mrefu sana sasa nimeliona sana tatizo la kukosa ukomavu wa Demokrasia hasa kwenye kuvumuliana na mawazo tofauti kutoka Viongozi wa Chadema, mpaka kuepelekea hata wanachama na wapenzi wao kuiga tabia hiyo mbovu sana ya Viongozi wao hasa wa Taifa. Kuacha Mheshimiwa Zitto, viongozi wengi wa Chadema wana tabia mbaya sana ya kuonyesha hasira za binafsi pale unawapowakosoa au kuikosoa Chadema as I always do in the public!

- Ukikutana nao utawaona wanavyopata taabu ya kukusalimia, watajaribu kila njia kukukwepa na wakishindwa utaona wanajilazimisha sana kukusalimia, huwa inanishangaza sana kwani wengi wao nakumbuka sana jinsi zamani walivyokuwa wanamtukana matusi ya nguoni mzazi wangu na sijawahi hata siku moja kuwaonyesha kwamba nina tatizo nao, I mean badilikeni ndugu zangu siasa sio uadui kupingana mawazo ni kitu chema na chenye afya sana kwa maendeleo ya taifa letu. Tunapopingana kitikadi in the public halafu kuonekana pamoja pia in the public tunajenga imani kwa wananchi wetu kwamba kutofautiana kiitikadi ni kwa sababu wote tuna nia njema na Taifa lakini sio kwamba hatupendani au ni maadui, ila wote tuna uchungu na taifa letu na ni muhimu tukipingana maana ndio njia pekee inayokubalika Duniani kisiasa katika kutafuta njia iliyonyoooka kwa Taifa.

- Viongozi wa Chadema badilikeni au fanyeni semina za kuelemishana kuhusu hii tatizo kubwa sana ambalo linawasumbua na kuwatafuna sana, sio ustaarabu kwani huwa mnawatukana sana viongozi wengine lakini hatuwakimbii wala kuwaogopa kwa sababu tunajua kuna siasa na kuna sisi as binadam na wananchi wa Tanzania ambao tunahitaji kuwaongoza wananchi wengine, sasa tusiwafundishe kuwa kutofautiana kiitikasi ni uadui.

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

Le Mutuz
661869494.JPG
 
photo.JPG
 
Lile blog lako la maana habari hizi pia ziko huko au unakimbilia hapa JF tu ? Unaway way hutaki kufutika katika siasa zenu za kujikomba nakuona na bidii zote hizi .
 
Back
Top Bottom