Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,947
Kwani wafuasi wa kibwetere waliwahi kuhoji lolote dhidi ya kibwetere?
Rabbid dogs should be chainedukitaka ufukuzwe chadema jaribu kuhoji madudu ya slaa au ya mwenyekiti, jifanye unataka kugombea uraisi, ulizia mapato na matumizi, toa hoja chanya kwa kuwa ccm utaitwa msaliti muulize shibuda na zitto watakuambia.uliza kwann mwenyekiti kauzia chama magari chakavu kw bei ya juu uliza uone nenda bavicha hakuna uwazi ukiulizwa wanatengeneza zengwe unafukuzwa demokrasia gani iyo
Kwani wafuasi wa kibwetere waliwahi kuhoji lolote dhidi ya kibwetere?
Anaitwa Suguuuuu!!Unaitwa nani?
ukitaka ufukuzwe chadema jaribu kuhoji madudu ya slaa au ya mwenyekiti, jifanye unataka kugombea uraisi, ulizia mapato na matumizi, toa hoja chanya kwa kuwa ccm utaitwa msaliti muulize shibuda na zitto watakuambia.uliza kwann mwenyekiti kauzia chama magari chakavu kw bei ya juu uliza uone nenda bavicha hakuna uwazi ukiulizwa wanatengeneza zengwe unafukuzwa demokrasia gani iyo
Kwani wafuasi wa kibwetere waliwahi kuhoji lolote dhidi ya kibwetere?
Kwani wafuasi wa kibwetere waliwahi kuhoji lolote dhidi ya kibwetere?
- Ukikutana nao utawaona wanavyopata taabu ya kukusalimia, watajaribu kila njia kukukwepa na wakishindwa utaona wanajilazimisha sana kukusalimia, huwa inanishangaza sana kwani wengi wao nakumbuka sana jinsi zamani walivyokuwa wanamtukana matusi ya nguoni mzazi wangu na sijawahi hata siku moja kuwaonyesha kwamba nina tatizo nao, I mean badilikeni ndugu zangu siasa sio uadui kupingana mawazo ni kitu chema na chenye afya sana kwa maendeleo ya taifa letu. Tunapopingana kitikadi in the public halafu kuonekana pamoja pia in the public tunajenga imani kwa wananchi wetu kwamba kutofautiana kiitikadi ni kwa sababu wote tuna nia njema na Taifa lakini sio kwamba hatupendani au ni maadui, ila wote tuna uchungu na taifa letu na ni muhimu tukipingana maana ndio njia pekee inayokubalika Duniani kisiasa katika kutafuta njia iliyonyoooka kwa Taifa.
Haya bwana Le Mutuz kama kweli wewe na Kijani wenzio mnauchungu na Jamii!
Lakini usisikitike katika maisha kuna kanuni kuwa huwezi kuishi au kuwa na mashirikiano na mwizi.Ebu tusaidie wewe Mgoni wako utataka usalimiane naye ?
Huo ni mtazamo wangu watakuja wengine.