Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Chadema demokrasia ni kumtii edwin mtei. Na kama wewe hutoki kanda ya kaskazini ni marufuku kuonesha dalili za kugombea nafasi ya juu bila ruhusa ya mtei. Hiki ni chama mufulisi kampuni ya kifamilia na inaweza kuliangamiza taifa kwa ukabila. Mbinu zao na propaganda za magazeti zimefahamika sasa vijana wenye mapenzi mema na tanzania wana ji distance na hiki chama.
 
Kwahiyo staili aliyoitumia wewe unaona ni muafaka kabisa sio
 
Tusaidie wakuu,
huyu juliana ni nani? Amefanya nini cha maana kumjadili? Ana mguso wowote katika jamii?
"Wakati yuko kwetu,hatukuuona umuhimu wake,leo kaondoka hatuoni pengo lake"

Hiyo ni kauli ya BAVICHA Mby.
 
Wewe ni mpuuzi wa aina yake

1. Matusi ya Juliana (ukimwi) hukuyaona wakati anatukana viongozi wa juu wa CDM?

2. Uthibitisho wa kukumbatiwa JK kuwa walikuwa wamemtuma hujauona?

3. Furahisha jamvi tu maana kesha tukanwa na nahisi matusi mengine anayotungiwa yatakupata ujue ya Juliana si ya mzaha

1/Kumjibu aliye kutusi kwa matusi kunadhihirisha wewe ulivyo mwehu zaidi yake.
2/Ulitegemea JK anune kumpata mwanasiasa mpya,tena aliyekuwa kiongozi wa juu CHADEMA?
Anyway,wewe angalau umejaribu ku argue kwa HOJA!
MY TAKE:
YOU ARE A GREAT THINKER.

Free Thinker says thanks for this very useful post.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshangazwa sana na muitikio wa wana CHADEMA baada ya Juliana Shonza kuhama akitokea Cdm kwenda CCM.
Pro CDM wengi wameishia kumshambulia kwa matusi na kejeli nyingi,bila kutilia maanani kuwa katiba ya JMT inamruhusu raia yeyote kuwa mwanachama wa chama chochote,almradi hajavunja sheria za nchi.
Jambo kubwa ambalo CDM wangejiuliza hapa ni:
1/Juliana Shonza na "Masalia" wengine walipata fursa ya kuelezwa tuhuma zao,kujitetea na kusikilizwa?
2/Kuna ukweli kiasi gani dhidi ya tuhuma za ukanda na ukabila katika chama cha CDM?
3/Kuna ukweli kiasi gani kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa rasilimali za chama unao daiwa kufanywa na viongozi wakuu?

Kumbukeni lisemwalo lipo,na mficha maradhi kifo humuumbua!
Ni wakati wa cdm kama chama kujitathmini sasa,na kuondoa uozo na udhaifu wowote kama upo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Teh teh teh umejiunga leo tu na umekuja na Pumba kibao hivi nani kakulipia hela ya kupata net teh teh au ndio miongoni mwa masalia waume zenu CCm Magamba wamewapa vijisimu vya mchina na vijicredit ili mtume pumba humu sio mahala kwa pumba leta mada zenye akili ndio zijadiliwe kwa maslahi ya taifa hii issue imepitwa na wakati naona ulikuwa na kipele upate tu kamchina kako ili na wewe uonekane Lol!!!Pole sana.Leta mada ya maji Dar es Salaam au popote hapo tutachangia kwani sie tuliowengi ndio tunapata adha ya ukosefu wa maji.Kumbuka wewe ni mpyaaa so jaribu kuleta news kali zenye maslahi usibezi upande mmoja leta kitu kwa faida ya wote na vizazi vijavyo
 
Teh teh teh umejiunga leo tu na umekuja na Pumba kibao hivi nani kakulipia hela ya kupata net teh teh au ndio miongoni mwa masalia waume zenu CCm Magamba wamewapa vijisimu vya mchina na vijicredit ili mtume pumba humu sio mahala kwa pumba leta mada zenye akili ndio zijadiliwe kwa maslahi ya taifa hii issue imepitwa na wakati naona ulikuwa na kipele upate tu kamchina kako ili na wewe uonekane Lol!!!Pole sana.Leta mada ya maji Dar es Salaam au popote hapo tutachangia kwani sie tuliowengi ndio tunapata adha ya ukosefu wa maji.Kumbuka wewe ni mpyaaa so jaribu kuleta news kali zenye maslahi usibezi upande mmoja leta kitu kwa faida ya wote na vizazi vijavyo

Huyu ni mwenyeji amebadili jina tu...!!!
 
Huyu ni mwenyeji amebadili jina tu...!!!

-Umeona mada.
-Umevutika nayo na kuifungua.
-Umeisoma na kupitia comments.
-Umekosa hoja ya kujibu.
-Umeamua kurukia Joining Date yangu!!

MY TAKE:Wewe ni kilaza!
Free Thinker says thanks for this very kilazaful post.
 
Last edited by a moderator:
1/kumjibu aliye kutusi kwa matusi kunadhihirisha wewe ulivyo mwehu zaidi yake.
2/ulitegemea jk anune kumpata mwanasiasa mpya,tena aliyekuwa kiongozi wa juu chadema?
Anyway,wewe angalau umejaribu ku argue kwa hoja!
My take:
You are a great thinker.

free thinker says thanks for this very useful post.

my take

you are a slave of your own
 
Mkuu tatizo la SHONZA sio kuhama CDM tatizo ni umamluki wake...
Kuhama kwake hatutupi sisi homa bali kiel alichokua ametumwa kukifanya....
 
Wanabodi.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)..

Kimejikita zaidi kwenye vurugu na watanzania sasa wameamini maneno ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dr Slaa..

Akiapa kwa uchungu kwamba watahakikisha nchi haitawaliki.

Hata kwenye majimbo ya uchaguzi ambayo Chadema imeshinda aidha ubunge au udiwani, wabunge na madiwani hao walioshinda kwa tiketi ya Chadema..

Hawafanya lolote chanya la kuwaletea wananchi maendeleo badala yake wanaendesha mivutano isiyoisha wakipinga hata yasiopingika..

Wabunge wa majimbo ya Kawe (Halima Mdee), Ubungo (John Mnyika). (Tundu Lissu) Singida, (Lema) Arusha (Wenje) Mwanza..

Hawakai majimboni mwao wala hawana mpango wowote na wapiga kura wao, badala yake wamejikita kuteleza mikakati ya Chadema makao makuu wanazunguka nchi nzima kuhamasisha watanzania wasigane na serikali ili hatimaye nchi isitawalike..

Huko Mbeya nako moto umewaka lakini kwa staili ile ile ya watu kusigana na serikali pasipo sababu za msingi..

Mbunge wa Mbeya mjini anaitwa kwa jina la sifa Mr. Sugu, amepewa sifa nyingine ziada inayozidi cheo cha ubunge, anaitwa Rais wa mkoa wa Mbeya, je, huu sio uhaini?

Upinzani wa Godbless Lema, na Tundu Lissu, Dr Slaa, Freeman Mbowe, haufai na unadhirisha wazi kwamba wahusika hawakupitia darasa la urai..

Uko wapi uzalendo wa Watanzania wenzetu!
Katika uchafu uliopo sasa ni vigumu hao uliowataja kuenenda katika misingi unayoitaka. Maendeleo sio lazima yampendeze kila mmoja. wewe na wenzio ni waathirika wa vuguvugu la mabadiliko. Demokrasia ndani ya chama ina wakati wake lakini sasa ni wakati wa kutafuta aendeleo kwanza, hivyo shamba linatifuliwa na vumbi halina budi kutimka.
 
[h=5]leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.

Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo
[/h]




tunapokizungumzia chadema tunazungumzia mambo mawili makuu; demokrasia na maendeleo. Ni imani yangu kuwa waasisi wa chama hawakukurupuka katika kutafuta hayo maneno mawili ili yawe mwongozo katika kile viongozi, wanachama na wananchi kwa ujumla wanaanimi. Ni vyema basi kujua kwa muhtasari nini maana ya maneno haya.

demokrasia
neno demokrasia linatumika kijamii pamoja na kisiasa. Linatumika katika nyanja nyingi za maisha kama katika kazi, ndoa, dini, elimu, kiuchumi n.k. Ila neon hili linatumika zaidi katika siasa.

Demokrasia inaweza kutafsiriwa katika misingi yake toka lugha ya kigiriki. Demos = the people, kratos = power. Hivyo basi demokrasia ni mfumo wa kiutawala ambapo nguvu ya kisiasa inatoka kwa wananchi. Au ni mfumo wa kisiasa ambampo nguvu za kiutawala zinatoka kwa wananchi.

Kadhalika demokrasia inaweza kuwa ya moja kwa moja ama ya uwakilishi. Katika mazingira yetu hatuwezi wote wananchi mil 40 kufanya maamuzi kwa niaba na kwa ajili yetu. Hivyo umuhimu wa demokrasia ya uwakilishi ndipo inapohusika. Demokrasia ya uwakilishai ni pale ambapo watu wachache wamechaguliwa ama kuteuliwa kuwakilisha mawazo ya wengi, na kwa usawa na haki katika vyombo vya maamuzi kama serikali, bunge na mahakama.

maendeleo
umoja wa mataifa kitengo cha maendeleo kinafafanua maendeleo kuwa ni kuwa na maisha marefu nay a afya, kuwa na ufahamu, kuwa na uwezo wa kuzifikia rasilimali zinazohitajika kwa maisha bora na kuweza kushiriki katika maisha ya kijamii kwa ujumla. Kwa lugha nyingine maendeleo ni kuwajengea watu uwezo katika nyanja zote za kimaisha kama siasa, uchumi, kijamii, kiutamaduni ili watu waweze kudhibiti maisha yao, kuelezea mahitaji yao na kutafuta ufumbuzi kwa matatizo yao.

Demokrasia na maendeleo ni dhana mbili zinazoelekea kufanana na wakati huo huo kutofautiana. Zinafanana kwa misingi kuwa dhana zote mbili ni hitimisho la maisha bora kwa wananchi husika. Zinatofautiana kwa misingi kuwa kipi kianze na kipi kifuate . Wakati mwingine ili pawepo na maendeleo, nguvu ya ziada inabidi kutumika. Tuliona hili katika utekelezaji wa azimio la arusha. Tunaona hili kwa wenzetu kama ilivyokuwa kwa ujerumani, ussr na mataifa mengine. Demokrasia kwa upande wake inataka maridhiano na maamuzi ya wengi ama uwakilishi wa hayo maamuzi, kitu ambacho kinaweza kuchelewesha utekelezaji kisa tu mawazo ya mtu/watu fulani yaheshimiwe.

chama cha demokrasia na maendeleo-chadema
tunapoangalia katika ngazi ya chama tunaona kuwa chadema kikiwa na dhana zake mbili kinashindwa aidha kuwa na kauli moja ni dhana gani ifuatwe kwanza, ama mawazo ya nani yapewe kipaumbele. Inawezekana mambo kuwa shwari ndani ya chadema ila ni media na dola kutaka kuchafua tu hali ya hewa ya chama. Inawezekana pia kuwa ndani ya chama hali si shwari hivyo kusababisha mivutano ya utekelezaji wa dhana hizo mbili-kwamba nani anatekeleza demokrasia na nani anatekeleza maendeleo.
Labda tujadili kuanzia hapa. Ndani ya chadema kuna wanaoamini katika demokrasia na kuna wanaoamini katika maendeleo ila mwisho wa siku wana kauli ya kikasuku ya people's power! Kuna uwezekano wa kubeba dhana hizi mbili kwa wakati mmoja? Kuna haja ya kuchelewesha moja ili iliyobaki ifanye kazi ili mwisho wa siku lengo litimie? Tuyajadili haya kwa manufaa ya chama chenyewe, pamoja na imani na matumaini ambayo tumeyaweka juu ya chama kwa mustakabali wa maisha bora kwa kila mtanzania


yajue pia ya ccm kwa ufupi hapa
 
leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.

Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo





Umenikumbusha enzi za Mrema na Paulina. nani asiyejua kuwa wanawake wanaweza kufanya LOLOTE? Ndio maana hata Biblia inasema inabidi mwanaume aishi na mwanamke kwa kutumia akili na si vingine. Sasa kama hao waliompokea hawajui hilo basi wana matatizo kuliko huyo mwanamke. Kama wanajua basi wana matatizo kama huyo mwanamke
 
ukitaka ufukuzwe chadema jaribu kuhoji madudu ya slaa au ya mwenyekiti, jifanye unataka kugombea uraisi, ulizia mapato na matumizi, toa hoja chanya kwa kuwa ccm utaitwa msaliti muulize shibuda na zitto watakuambia.uliza kwann mwenyekiti kauzia chama magari chakavu kw bei ya juu uliza uone nenda bavicha hakuna uwazi ukiulizwa wanatengeneza zengwe unafukuzwa demokrasia gani iyo
 
Hivi yule mjumbe wa uvccm aliyefukuzwa na mwenyekiti wa uvccm ilitumika katiba katiba kweli?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukitaka ufukuzwe chadema jaribu kuhoji madudu ya slaa au ya mwenyekiti, jifanye unataka kugombea uraisi, ulizia mapato na matumizi, toa hoja chanya kwa kuwa ccm utaitwa msaliti muulize shibuda na zitto watakuambia.uliza kwann mwenyekiti kauzia chama magari chakavu kw bei ya juu uliza uone nenda bavicha hakuna uwazi ukiulizwa wanatengeneza zengwe unafukuzwa demokrasia gani iyo

Hapana, lazima kuwe na nidhamu. Nyinyi akina shonza hamna nidhamu.
 
Nikweli kabisa Hata sisi wananchi tukihoji kuhusu madini yetu tembo wetu na gas yetu wanaishia kutumia polisi kutupiga na kutumwagia maji ya kuwasha na kutuchoma na vitu vyenye ncha Kali kweli chadema ubabe umekithiri
 
Back
Top Bottom