Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

mkuu ritz kwa sasa jambo la muhimu lakujadili ni suala la huyu mzee slaa kuchagua kusuka ama kunyoa maana huku chadema sisi hatumtaki ni mamluki mkubwa ndo maana anavuruga chama kwakuwafukuza makamanda waliotoka na chama mbali.
anasahau kwamba yeye mwaka 1995 alishinda ubunge karatu akiwa hajui hata wapi ziliko ofisi za chadema makao makuu.
alifika ubungo nakupiga simu makao makuu kuomba waje wamchukue alisimama pale mbele ya yenu bar ubungo akina mzee kimesela ndio waliokuja kumpokea leo hii anajifanya mnazi wa chadema kinara wakuwaita wenzie mamluki kumbe yeye kaficha kakadi kake .
hahahaaa kweli za mwizi arobaini yaani ni sawa na mchawi aokoke halafu akatae kuchoma tunguri zake eti anaziweka kumbukumbu ili watoto wake waje wazione kuwa baba alishawahi kuwa mchawi.
ondoka chadema slaa hatukutaki rudi ccm .
ritz tunawarudishia mzigo wenu wa misumari huku hatuutaki.
mbowe na zitto wanatosha sana kupeleka gurudumu la chadema mbele.
 
Ni lini katika historia ya TZ chama cha upinzani kilifanya maandamano bila polisi kuingilia kati, kukatokea vurugu?

Nafikiri polisi ndio wanaosababisha vurugu kwa kuingilia siasa.
 
Mnadhani watanzania ni wajinga tena, hizo propaganda zenu za kuichafua CHADEMA walishazishtukia mapema.

Watanzania kwa sasa wanaipenda sana CHADEMA na wameshawaamini CHADEMA, wakati wowote CCM itakuwa chama cha upinzani.

Mkuu nakubaliana na wewe kweli watanzania sio wajinga ndio maana hawakuichagua Chadema.
 
Chadema pamoja na wafuasi wenu mnatakiwa kufahamu kuwa mamlaka waliyonayo polisi wetu hapa nchini hata nchi nyingine duniani yako hivyo. Hakuna kikundi au taasisi inayoweza kufanya mikutano au maandamano bila ya ridhaa ya polisi.

Acha ujuha, pitia shere utaona Polisi huwa hawaombwi kutoa ridhaa yao bali hupewa taarifa kwa ajili ya kwenda kwenye mikutano/mikusanyiko ya jamii ili watoe ulinzi, sheria haiwapi uwezo wa kutoa kibali za kutoa ulinzi.
 
nia ya chadema ni kupata madaraka ya kuidhibiti nchi kwa namna na gharama yeyote ile.

Ritz, huu uzi wako mbona haujashikamana kimatukio. Umekaa wazo likakujia alimradi la kusema chochote against chadema basi wewe unajiandikia tu. Nimeamini kweli aidha unalipwa kuikandia chadema au kuna nafasi fulani unaitafuta huko CCM. Maanake siku hizi uwezo wa mtu kupata kibarua CCM ni namna unavyoweza kuikandia Chadema.

Mimi binafsi si mwananchama wa Chadema lakini siku ambayo chadema kitasambaratika ntaweza kupata shinikizo la damu. Kwa nini? Kwa sababu kazi chadema inayoifanya katika kuibana serikali na kuikimbiza mchamchaka inatuletea faida kubwa sisi wananchi walala hoi. Angalia CCM wanavyokimbia kimbia sasa! Yote ni kwa hofu ya nguvu ya chadema. Jaribu kuimagine chadema isingekuwa na nguvu kama iliyonayo sas hivi, hii nchi ingekuwaje? Mimi ni muumini wa upinzani wenye nguvu na tangu nimepta akili ya kushiriki kwenye siasa sijawhi kupigia CCM kura. Nilianza kupiga kura wakati wa Mrema (1995) NCCR ikafa, nikaipigia CUF nayo imepoteza mwelekeo sasa nitaipigia chadema na namwomba mungu chadema idumu hata kushika dola kisiwe kama vyama vingine wachumia tumbo. Chadema kikishika dola nitaendelea kupigia kura yangu chama cha upinzani kitakochokuwepo iwe CCM au kingine!
 
mkuu ritz kwa sasa jambo la muhimu lakujadili ni suala la huyu mzee slaa kuchagua kusuka ama kunyoa maana huku chadema sisi hatumtaki ni mamluki mkubwa ndo maana anavuruga chama kwakuwafukuza makamanda waliotoka na chama mbali.
anasahau kwamba yeye mwaka 1995 alishinda ubunge karatu akiwa hajui hata wapi ziliko ofisi za chadema makao makuu.
alifika ubungo nakupiga simu makao makuu kuomba waje wamchukue alisimama pale mbele ya yenu bar ubungo akina mzee kimesela ndio waliokuja kumpokea leo hii anajifanya mnazi wa chadema kinara wakuwaita wenzie mamluki kumbe yeye kaficha kakadi kake .
hahahaaa kweli za mwizi arobaini yaani ni sawa na mchawi aokoke halafu akatae kuchoma tunguri zake eti anaziweka kumbukumbu ili watoto wake waje wazione kuwa baba alishawahi kuwa mchawi.
ondoka chadema slaa hatukutaki rudi ccm .
ritz tunawarudishia mzigo wenu wa misumari huku hatuutaki.
mbowe na zitto wanatosha sana kupeleka gurudumu la chadema mbele.

Muumini safi,
Poleni sana hayo ndio matumizi mabaya ya demokrasia wafuasi wake wanamtetea wanasema ni haki yake anataka baadae amuonyeshe Junior hakiwa mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Ritz, huu uzi wako mbona haujashikamana kimatukio. Umekaa wazo likakujia alimradi la kusema chochote against chadema basi wewe unajiandikia tu. Nimeamini kweli aidha unalipwa kuikandia chadema au kuna nafasi fulani unaitafuta huko CCM. Maanake siku hizi uwezo wa mtu kupata kibarua CCM ni namna unavyoweza kuikandia Chadema.

Mimi binafsi si mwananchama wa Chadema lakini siku ambayo chadema kitasambaratika ntaweza kupata shinikizo la damu. Kwa nini? Kwa sababu kazi chadema inayoifanya katika kuibana serikali na kuikimbiza mchamchaka inatuletea faida kubwa sisi wananchi walala hoi. Angalia CCM wanavyokimbia kimbia sasa! Yote ni kwa hofu ya nguvu ya chadema. Jaribu kuimagine chadema isingekuwa na nguvu kama iliyonayo sas hivi, hii nchi ingekuwaje? Mimi ni muumini wa upinzani wenye nguvu na tangu nimepta akili ya kushiriki kwenye siasa sijawhi kupigia CCM kura. Nilianza kupiga kura wakati wa Mrema (1995) NCCR ikafa, nikaipigia CUF nayo imepoteza mwelekeo sasa nitaipigia chadema na namwomba mungu chadema idumu hata kushika dola kisiwe kama vyama vingine wachumia tumbo. Chadema kikishika dola nitaendelea kupigia kura yangu chama cha upinzani kitakochokuwepo iwe CCM au kingine!

Mkuu subiri shindikizo la damu...
 
Ritz, amani hailindwi na wananchi wala serikali. Amani ni matokeo tu ya matendo ya serikali. Serikali itende haki, kuwe na usawa na demokrasia ya kweli tuone ni nani atapigana na serikali. Swali kwa nini jeshi moja la serikali moja, CCM waliruhusiwa kufanya mkutano Bububu ZNZ wakati wa Sensa na CHADEMA wakakatazwa kufanya ufunguzi wa tawi huko Nyororo??
 
Last edited by a moderator:
huu ni upumbavu ...... sheh ponda alivyochochea makanisa yavunjwe na kuharibiwa ulifurahi sana na kumtetea ....

you better shut your bucal cavity
 
Wanabodi.

Watanzania wamekuwa na uhuru wa kufanya na kushiriki katika shughuli za kisiasa, kufanya maandamano na kuitisha mikutano ya hadhara ya kisiasa, kijamii na mingineyo.

Watanzania wana haki ya kujivunia mafanikio hayo ya kupanuka kwa demokrasia kupitia vyama vyao vya siasa Watanzania wamekuwa na uhuru mkubwa wa kutoa maoni yao kupitia vyombo vya habari mitandao ya kijamii.

Changamoto hizo zimepelekea baadhi ya viongozi wa Chadema wanautumia vibaya uhuru huo na kusababisha sintofahamu kila siku. Chadema wanataka kuhatarisha maisha ya Wananchi. Tukiangalia matukio mengi yakifanywa na Chadema dhumuni lao kubwa nchi ingie kwenye machafuko ya umwagaji damu mapigano ya sisi kwa sisi kitu ambacho Watanzania wameapa kuwa hawatakubali.

Tumeshuhudia viongozi wa Chadema wakiomba kufanya maandamano bila vibali wanapozuiwa na polisi baada ya kubaini kutatokea uvinjifu wa amani, Chadema wanalazimisha kufanya maandano kwa nguvu. Leo Chadema ni chama cha upinzani sasa kama kitaendelea kutotii mamlaka nyingine zilizopo kisheria siku wakishika dola shughuli za kisiasa zitafanyika katika mazingira ya vurugu tupu.

Watanzania wengi wapenda amani na baadhi ya Watanzania ambao si wanachama wa Chadema huogopa kwenda katika mikutano yao ya hadhara na maandamano yao kwa kuhofia kutokea vurugu na hatimaye mauaji.

Ubabe wa viongozi wa Chadema wa kupenda vurugu limekuwa jambo la kawaida kwao kama ni utamaduni wa kuendesha shughuli za siasa nchini Watanzania tuwe makini sana na siasa za Chadema.

Watanzania tunapaswa kufahamu kuwa ni wajibu wetu kulinda amani iliyopo sasa na hii itawezekana tu kama wanasiasa watakubali kuheshimu misingi ya katiba ya nchi na kuzingatia sheria zilizowekwa.

Sawa tumekusikia. Wewe ni raia mwenye uchungu na nchi hii na CHADEMA NI HATARI KWA TAIFA.
Sasa tusifanye mijadala kuwa mingi na mirefu humu. Chakufanya ndugu mzalendo unayetaka amani na maendeleo hapa TZ ni Kukusanya ushahidi wa hayo yote uliyoorodhesha kama madhambi ya Chadema na uyapeleke kwa msajili wa vyama vya siasa ili CHADEMA KIFUTILIWE MBALI. KWASABABU WATANZANIA HATUTAKI VYAMA VINAVYOHATARISHA AMANI
 
Chadema pamoja na wafuasi wenu mnatakiwa kufahamu kuwa mamlaka waliyonayo polisi wetu hapa nchini hata nchi nyingine duniani yako hivyo. Hakuna kikundi au taasisi inayoweza kufanya mikutano au maandamano bila ya ridhaa ya polisi.

Polisi wa nchi zingine nao wanamajukumu ya kuua raia wake?
 
na ndio maisha yanaendelea kuwapiga kila kukicha,naombea maisha yazidi kuwa magumu hasa kwenu nyie akina ritz mlioichagua ccm
 
Wanabodi.

Watanzania wamekuwa na uhuru wa kufanya na kushiriki katika shughuli za kisiasa, kufanya maandamano na kuitisha mikutano ya hadhara ya kisiasa, kijamii na mingineyo.

Watanzania wana haki ya kujivunia mafanikio hayo ya kupanuka kwa demokrasia kupitia vyama vyao vya siasa Watanzania wamekuwa na uhuru mkubwa wa kutoa maoni yao kupitia vyombo vya habari mitandao ya kijamii.

Changamoto hizo zimepelekea baadhi ya viongozi wa Chadema wanautumia vibaya uhuru huo na kusababisha sintofahamu kila siku. Chadema wanataka kuhatarisha maisha ya Wananchi. Tukiangalia matukio mengi yakifanywa na Chadema dhumuni lao kubwa nchi ingie kwenye machafuko ya umwagaji damu mapigano ya sisi kwa sisi kitu ambacho Watanzania wameapa kuwa hawatakubali.

Tumeshuhudia viongozi wa Chadema wakiomba kufanya maandamano bila vibali wanapozuiwa na polisi baada ya kubaini kutatokea uvinjifu wa amani, Chadema wanalazimisha kufanya maandano kwa nguvu. Leo Chadema ni chama cha upinzani sasa kama kitaendelea kutotii mamlaka nyingine zilizopo kisheria siku wakishika dola shughuli za kisiasa zitafanyika katika mazingira ya vurugu tupu.

Watanzania wengi wapenda amani na baadhi ya Watanzania ambao si wanachama wa Chadema huogopa kwenda katika mikutano yao ya hadhara na maandamano yao kwa kuhofia kutokea vurugu na hatimaye mauaji.

Ubabe wa viongozi wa Chadema wa kupenda vurugu limekuwa jambo la kawaida kwao kama ni utamaduni wa kuendesha shughuli za siasa nchini Watanzania tuwe makini sana na siasa za Chadema.

Watanzania tunapaswa kufahamu kuwa ni wajibu wetu kulinda amani iliyopo sasa na hii itawezekana tu kama wanasiasa watakubali kuheshimu misingi ya katiba ya nchi na kuzingatia sheria zilizowekwa.
Ndiyo tunataka siku moja wananchi waseme hapana waziwazi kwa wezi wa mali zao! Ndiyo hata ikiwezekana wawadunde hao wezi wa raslimali zao. Kama mamlaka zote zimefisidiwa na Wezi wa magamba wananchi wafanyeje?
Walale tu! Hapana tunataka waamke na kudai haki zao kama mtaona na kuita vurugu ni juu yenu. Bado kidoogo mtachipata!!
 
Umelewa sisiem naona unapepesukia cdm pole!
Jaribu cuf !
Still the kizota agenda is being penetrated but the mission was unsuccessful! .
Nyie rukenirukeni lakini your days are numbered kijanaa ! "Ritz"
 
Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo CHADEMA tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukuzwa kina Juliana.

My take: CHADEMA itapita kwenye mgogoro mkubwa zaidi baada ya kumwondoa Julianna na wenzaje. Ameishaibua uozo wa Dr. Slaa kujichotea mamilioni na yameandikwa magazetini and people are forming opinios about Slaa.

The damage has been done and more is to come. It was a wrong move kwa CHADEMA kumwondoa Julianna na wenzake kwa style hii and more will surface. Dr. Slaa na Mbowe wamekosa umakini katika hili
 
Shida unataka kumuingiza Zitto kwenye mjadala wako , weka you tube watu wasikie..........Juliana hana impact kwenye chama ....nani anamjua aliwahi kufanya kazi gani ya kujenga chama? Huyu hana tofauti na yule wa uvccm sijui mboni nani yule.............
 
Back
Top Bottom