mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Ni kweli hata mimi nilimsikia akitoa Kauli hiyo kupitia Clouds fm....mwendesha kipindi hicho alikuwa ni mdada ila simfahamuacha umbea
kwa jina

Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo Chadema tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukyzwa kina Juliana.
My take: Chadema itapita kwenye mgogoro mkubwa zaidi baada ya kumwondoa Julianna na webzaje. Ameishaibua uozo wa Dr. Slaa kujichotea mamilioni na yameandikwa magazetini and people are forming opinios about Slaa. The damage has been done and more is to come. It was a wrong move kwa Chadema kumwondoa Julianna na wenzake kwa style hii and more will surface. Dr. Slaa na Mbowe wamekosa umakini katika hili
Demokrasia bila mipaka ni uhuni na kumvumilia mhuni kwa kisingizio cha demokrasia ni kukosa maoni juu ya misingi ambayo CDM inasimamia. Kila mwanachama wa CDM anahaki ya kuzungumza lakini vilevile ana wajibu wa kupima athari za matamshi na matendo yake katika ujenzi wa chama.
CHADEMA sio genge la wahuni.
Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo Chadema tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukyzwa kina Juliana.
My take: Chadema itapita kwenye mgogoro mkubwa zaidi baada ya kumwondoa Julianna na webzaje. Ameishaibua uozo wa Dr. Slaa kujichotea mamilioni na yameandikwa magazetini and people are forming opinios about Slaa. The damage has been done and more is to come. It was a wrong move kwa Chadema kumwondoa Julianna na wenzake kwa style hii and more will surface. Dr. Slaa na Mbowe wamekosa umakini katika hili
Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo Chadema tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukyzwa kina Juliana.
My take: Chadema itapita kwenye mgogoro mkubwa zaidi baada ya kumwondoa Julianna na webzaje. Ameishaibua uozo wa Dr. Slaa kujichotea mamilioni na yameandikwa magazetini and people are forming opinios about Slaa. The damage has been done and more is to come. It was a wrong move kwa Chadema kumwondoa Julianna na wenzake kwa style hii and more will surface. Dr. Slaa na Mbowe wamekosa umakini katika hili
Mkuu, una busara sana. Busara hizi ungewapa chadema mapema may be Mwangosi angeendelea kuwa hai.
Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo Chadema tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukyzwa kina Juliana.
My take: Chadema itapita kwenye mgogoro mkubwa zaidi baada ya kumwondoa Julianna na webzaje. Ameishaibua uozo wa Dr. Slaa kujichotea mamilioni na yameandikwa magazetini and people are forming opinios about Slaa. The damage has been done and more is to come. It was a wrong move kwa Chadema kumwondoa Julianna na wenzake kwa style hii and more will surface. Dr. Slaa na Mbowe wamekosa umakini katika hili
Kwani kila lisemwalo ni kweli. kwani likitokea lijibaba hulifahamu likakwambia ndio babako utakubali tu?Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo Chadema tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukyzwa kina Juliana.