Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Ulitegemea Zitto afurahi kwa kufukuzwa kwa campan yake?
 
Last edited by a moderator:
Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo Chadema tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukyzwa kina Juliana.
My take: Chadema itapita kwenye mgogoro mkubwa zaidi baada ya kumwondoa Julianna na webzaje. Ameishaibua uozo wa Dr. Slaa kujichotea mamilioni na yameandikwa magazetini and people are forming opinios about Slaa. The damage has been done and more is to come. It was a wrong move kwa Chadema kumwondoa Julianna na wenzake kwa style hii and more will surface. Dr. Slaa na Mbowe wamekosa umakini katika hili

umemaliza kama jina lako lilivyo? "Nkosikazi"
 
Pamoja na yote hana namna ya kuwarudisha. Hata kwa kafulila alifanya hivyo hivyo kwani ilimsaidia nini?
Sisi chadema ndio wenye maamuzi ya mwisho.
 
Ningepata uhakika kama zitto kaongea hayo ninge ongeza maneno zaidi!
 
Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo Chadema tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukyzwa kina Juliana.
My take: Chadema itapita kwenye mgogoro mkubwa zaidi baada ya kumwondoa Julianna na webzaje. Ameishaibua uozo wa Dr. Slaa kujichotea mamilioni na yameandikwa magazetini and people are forming opinios about Slaa. The damage has been done and more is to come. It was a wrong move kwa Chadema kumwondoa Julianna na wenzake kwa style hii and more will surface. Dr. Slaa na Mbowe wamekosa umakini katika hili

Mafisadi, masalia Na watu Kama nyie ni sawa. Wote ni wasaliti wa wananchi
 
Shida unataka kumuingiza Zitto kwenye mjadala wako , weka you tube watu wasikie..........Juliana hana impact kwenye chama ....nani anamjua aliwahi kufanya kazi gani ya kujenga chama? Huyu hana tofauti na yule wa uvccm sijui mboni nani yule.............

Fukuza fukuza ndani ya chama halikuanzia kwa shonza acha kujisahaulisha kwa mwendo huu CDM haina safari wacha tuendelee kujifariji na maneno matamu"CDM ni chama makini",Wakati ktk hili CDM inajichimbia kaburi,demokrasia hakuna CDM ukiwambua wakubwa badala yakujibu tuhuma wanakuundia zengwe!
 
Aisee Mwanahalisi was deadly right! Kweli Saed Kubenea ulikua ukiona mbali na uchunguzi wako wakubaini ulikuwa moto wakuotea mbali .
Masaliaaaa aah! Masaliaaa! a.k.a PM7 mmh! Duuh! Prezzooo!,Combraaa!
 
Aisee Mwanahalisi was deadly right! Kweli Saed Kubenea ulikua ukiona mbali na uchunguzi wako wakubaini ulikuwa moto wakuotea mbali.
Masaliaaaa aah! Masaliaaa! a.k.a PM7 mmh! Duuh! Prezzooo!,Combraaa!
 
Huwa najiuliza mbona kumekuwa na mfumuko wa wimbi la ACCOUNT MPYA za humu JF kumshambulia Dr. Slaa?
 
NAPATA TABU KUDISCUSS MAMBO AMBAYO KWANZA SINA UHAKIKA NAYO,SINA USHAHID NAYO,TISA KUMI MUANDISHI NA MLETA MADA YENYEWE HAJIAMINI,HATA LUGHA YAKE YA TAIFA INAMSHINDA KUIPANGILIA SARUFI,PTUUUH..!!

UHARO...:smow::smow:

Mkuu sikufahamu vizuri lakini jambo moja nina uhakika nalo: mimi ni mtu makini. Sarufi and all that takataka nazifahamu vizuri sana. Hapa naongelea mstakabali wa Chadema kama chama mbadala wa CCM. Utakuwaje na uongozi wa kina Mbowe wanaomwita Julianna ana akili za kitoto na kafukuzwa il hali yuko Zitto anasema kwa mdomo na sauti yake redioni kuwa the procedure was wrong and undemocratic! Mind you Zitto si mwanachama wa kawaida Chadema bali ni kiongozi wa ngazi ya juu kabisa. Sasa akiwa tofauti na mwenyekiti na katibu wake anayezushiwa tuhuma nzito kila kukicha then mtu yeyote makini will sit up na kujiuliza. Sio kufuata maneno ya zidumu fikra za Slaa. Then we are not doing this country any favour. Kipindi cha redio kinaitwa amplifier cha Millard Ayo ila jana aliongoza mwana dada. Hii entry ya Zitto ndio ilikuwa the best of the day according to them.
 
Tatizo kubwa hawa mamluki wa cdm wanajua JF ndio sehemu yao ya kupiga kelele, fuateni taratibu za vikao vyenu vya ndani mzungumze issues sio kujadili mtu who is Shonza by the way?!! yule kwa sasa hata kabla hajasaidia kitu hii nchi sio kumjadili mda huo hamna!!
 
Tatizo CHADEMA ishatuingia damuni hatusikii hatuambiwi...tushasema vita vya propaganda na kuchafuana haviwezi kutubadili..........
 
Mkuu sikufahamu vizuri lakini jambo moja nina uhakika nalo: mimi ni mtu makini. Sarufi and all that takataka nazifahamu vizuri sana. Hapa naongelea mstakabali wa Chadema kama chama mbadala wa CCM. Utakuwaje na uongozi wa kina Mbowe wanaomwita Julianna ana akili za kitoto na kafukuzwa il hali yuko Zitto anasema kwa mdomo na sauti yake redioni kuwa the procedure was wrong and undemocratic! Mind you Zitto si mwanachama wa kawaida Chadema bali ni kiongozi wa ngazi ya juu kabisa. Sasa akiwa tofauti na mwenyekiti na katibu wake anayezushiwa tuhuma nzito kila kukicha then mtu yeyote makini will sit up na kujiuliza. Sio kufuata maneno ya zidumu fikra za Slaa. Then we are not doing this country any favour. Kipindi cha redio kinaitwa amplifier cha Millard Ayo ila jana aliongoza mwana dada. Hii entry ya Zitto ndio ilikuwa the best of the day according to them.

CLOUDS FM = TBCCM..!

GREAT THINKERS WE DON TAKE THEM SERIOUSLY,

THEY ARE JUST HAND TO MOUTH JOURNALISTS..

ANYWAY,TAKE IT EASY,BUT WE ARE REAL NOT INTERESTED WITH :blah::blah:
 
Jana kwenye kipindi cha radio cha Milrad Ayo mbunge Zitto Kabwe amesikika akihoji kama hii ndiyo CHADEMA tuliyokuwa tunaijenga ambavo mtu anatimuliwa chamani bila kupewa bafasi yakujitetea. Yuko tofauti kabisa na viongozi wengine wanao support kufukuzwa kina Juliana.

My take: CHADEMA itapita kwenye mgogoro mkubwa zaidi baada ya kumwondoa Julianna na wenzaje. Ameishaibua uozo wa Dr. Slaa kujichotea mamilioni na yameandikwa magazetini and people are forming opinios about Slaa.

The damage has been done and more is to come. It was a wrong move kwa CHADEMA kumwondoa Julianna na wenzake kwa style hii and more will surface. Dr. Slaa na Mbowe wamekosa umakini katika hili

Nimeona kesi zinafutwa au mtu kufungwa/ kutozwa faini bila ya kufika mahakamani. Kama walipewa taarifa ya kikao, but kwa sababu zao (walikuwa wanangoja maelekezo toka kwa mabwana zao) wakaamua kutohudhuria mkutano, adhabu ni sahihi.
Kinachotakiwa ni kukata rufaa/ na sio kulaumu kama wanavyofanya.
Kuhusu Mh Zito, sijamsikia akisema haya, bali kama amesema basi ni mbumbumbu wa sheria
 
Back
Top Bottom