Hao wanatafuta kick tu hamna loloteMkuu hile harusi yenu na demiss VP au ndiyo kiki
Hao wanatafuta kick tu hamna loloteMkuu hile harusi yenu na demiss VP au ndiyo kiki
Kwa hiyo mkuu harusi tyr na kitu ushavuta ndani ?Tushamaliza kila kitu
Hahaha,mnanifanya nilambe sikio kwa furaha,mtoto wa Dodoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nibebee nami nikuonyeshe mpenzi chakukupaa ili usiendeeee... CC : Nyota ndogo
Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
Amekuwa maarufu sana jf kwahiyo tunamchukulia kama celebrityYa nini sasa
Mmmh, mbiti ya kweli haya? Hivi kumbe mshana yupo siriaz kabisa..loh.usisikilize ya watu shem ..ohooo!weng hapa hawana wakuwaandikia haya stress tupu yaan..kila unapogusa shida!mpende demmisskiukweli kweli