Mahaba niue...Hahahahahahaa acha uchokozi na uchochezi looh.
Shkamoo babu.
Mahaba niue...
Leo ni ijumaa unajua??Utembee kwa miguu toka hapo ulipo hadi Kasie alipo kisa..... umpelekee motoo yaani firee yaani chechee hadi Kasie atembee migulu baja.
Aahahahahhahaa babu ni kitambo eeeh.
Kasie Mahaba mie, usipoyaoga kwa Kasie utayanywa kwa Hadija au kuyanawa kwa Saumu. Kazi kwako babuu mradi tuu ukae mbali na vumbi.
Sherehe za kumpokea rasmi zitafanyika usiku wa leo Msata kilingeni... View attachment 722831
Mi mbishi kama NdugaiUtakufa wewe sisi tutabaki[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Lakini mshana huwa unatuacha hoi. "Wewe ni mortuary attendant wa hospital gani" Nimeona kwenye profile yako ya jf nikabaki hoi.Nakupenda
Hii tabia yako yakutabasamu mara zote.imenifanya namm nitabasamu zaidi .[emoji23][emoji23]
MekumithHii tabia yako yakutabasamu mara zote.imenifanya namm nitabasamu zaidi .
Ndio maana nilikunong'oneza kuleeeeee
Ndo nilichochagua hakuna jinsi wacha nipige kaziNa bado...
Hahahaaa kesho ndo mwishoHoneymoon haijaisha kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yan mashikolo mageni ninayopitia acheni tuLips zimefanania na wa kwenye avatar japo haiwezi kuwa ndo uhalali wa kusema huyu ndo yeye..... ni mlinganisho tuu wa macho na ubongo kukubali kuwa wanafanana.
Mbona kama puani amewekewa pamba?
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]kigagula demiss....