Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

Kwenye nchi za kisenge km Tanzania ya Sasa kusoma sio dili

Najuta miaka yangu niliyopoteza darasni Bora ningepambana mapema niingie civilized country
 
Mkuu, Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) from SUA mbona haipo..? Inawezekana huijui SUA ila siku Moja pita Mitaa ya SUA pale Moro then uliza kuhusu Hiyo program. Japo SUA yote ni kwa moto kwa Kila Pgrm ila hiyo ni moto
 
Madogo hamuoni nyuzi za madokita wanalilia njaa😀😀😀na bado mnataka kusomea sifa.

Mkimaliza kusoma hayo makitu magumu.Tunasubiri kusoma nyuzi zenu mkiwa mnabubujikwa na machozi.

Wenzenu wamejilipua wako mgodini huko,maisha ni zaidi ya salary.Acheni uvivu wa kufikiria.
 
Mkuu, Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) from SUA mbona haipo..? Inawezekana huijui SUA ila siku Moja pita Mitaa ya SUA pale Moro then uliza kuhusu Hiyo program. Japo SUA yote ni kwa moto kwa Kila Pgrm ila hiyo ni moto
Nchii hii wasomi ndio wajinga na moja.Wanakazi ya kusifia kozi flani ngumu😀😀😀😀

Yaani wenzetu wanapambana msomi akigraduate akaitendee haki fani yake ila mitanzania ikigraduate inasifia ujingaujinga.Maprofesa wenyewe vilaza tu hakuna chochote wamefanyia hii nchi at all.

Hiyo SUA ukiuliza imeisaidiaje hii nchi zaidi ya kuzalisha viduka vya AGROVET kila mtaa😀😀😀.

Waafrika ni laana!!!
 
Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani

1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari
Masomo mengi, muda mrefu wa kusoma, na mafunzo ya hospitali.

2. Bachelor of Aerospace Engineering – Uhandisi wa Anga
Inahitaji kiwango cha juu cha hesabu, fizikia na uhandisi

3. achelor of Architecture – Usanifu Majengo
Inahitaji ubunifu, michoro mingi, miradi mikubwa na muda mwingi wa kazi.

4.achelor of Electrical Engineering – Uhandisi wa Umeme
Ina hesabu ngumu, fizikia na mifumo tata ya umeme.

5.Bachelor of Chemical Engineering – Uhandisi wa Kemikali
Huchanganya kemia, fizikia, hesabu na teknolojia.

6. Bachelor of Computer Science (hasa Artificial Intelligence/Cybersecurity)
Inahitaji mantiki, programu na kutatua matatizo magumu.

7. Bachelor of Neuroscience – Sayansi ya Ubongo
Inahitaji uelewa mkubwa wa biolojia, kemia na mfumo wa fahamu.

8. Bachelor of Mathematics / Theoretical Physics – Hisabati au Fizikia ya Nadharia
Ina dhana za juu sana za kihisabati na kufikiri kwa kina.

Kwenye hizi degrees Zote ugumu hutegemea uwezo, maslahi na mazingira ya mwanafunzi.

Degree ipi apo unaweza kuigusa kidogo na ukafanikiwa kugraduate bila kudisco?.
Duniani kote fani ni tatu tu tangu enzi na enzi.
1. Law
2. Medicine
3. Engineering.
Nyingine zote ni zao la hizo hapo.
 
Hivi kuna degree ngumu kama Petroleum?
Kwenye Petroleum = Advanced Physics + Advanced Mathematics + Advanced Chemistry + Geology
 
Nchii hii wasomi ndio wajinga na moja.Wanakazi ya kusifia kozi flani ngumu😀😀😀😀

Yaani wenzetu wanapambana msomi akigraduate akaitendee haki fani yake ila mitanzania ikigraduate inasifia ujingaujinga.Maprofesa wenyewe vilaza tu hakuna chochote wamefanyia hii nchi at all.

Hiyo SUA ukiuliza imeisaidiaje hii nchi zaidi ya kuzalisha viduka vya AGROVET kila mtaa😀😀😀.

Waafrika ni laana!!!
Acha dharau basi.. kwanza sijui ni nini kinakufurahisha hadi unachekacheka hovyo
 
Acha dharau basi.. kwanza sijui ni nini kinakufurahisha hadi unachekacheka hovyo
Hivi nyie wasomi uchwara.Nani aliyewaambia heshima inafosiwa.Nyie kima mnatakiwa mlete ugunduzi wa maana ndio tutawaheshimu.

Sasa mmejazana hapo Mazimbu pumbavu zenu,hakuna kitu mnatatua hata mbolea tunanunua nje.Agrovet ndio kitu pekee SUA inatengeneza.

Wasomi wote wa SUA wanaandaliwa kwa miaka3 mpaka 4 kuja kuwa wauzaji wa AGROVET🤣🤣🤣.

Watu wadar wanasema AIBU UTAONA WEWE,KWA USOMI WENU HUO, HII AIBU NAONA MIMI!!
 
Back
Top Bottom