Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.
Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.
Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!

Alooh usiondoke hapo hawakawii kuyapandisha na kuchukuwa Twiga wengine,nakuaminia Uswe,make sure camera yako haibanduki hapo.:llama:Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.
Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.
Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!
Lingekua la wazungu ungesema hivyo?Hawa waarabu wamekuja kufanya nyao Nyalandu simwamini katu.