kennyhilary
New Member
- Mar 15, 2026
- 3
- 7
Usafiri wa Anga Kwa Air Tanzania Dar es slaam to Mwanza gharama yake sio ya uchumi wa Mtanzania Tiketi zipo juu sana ukilinganisha na kipindi cha miezi sita nyuma
Sababu itakua nini?
au watanzania sasa wameimarika kiuchumi ?
Magufuli kachangia sana kuiua Fastjet.Ninajuta kupotea kwa Fastjet
Naye kafaMagufuli kachangia sana kuiua Fastjet.