Deep web/ Dark web unaijua? Na ushawahi kwenda huko na uliona nini huko

Deep web/ Dark web unaijua? Na ushawahi kwenda huko na uliona nini huko

Nashukuru nimefanikiwa kuingia darkweb lakini sijaambulia chochote maana hakuna cha bure kila kitu lazima ukiliipie mfano video yoyote so ngoja nijifunze kwanza bitcoin nitarudi tena siku moja kufanya malipo maana mambo ya huko si ya kuhadithiwa.....
 
Initial Setup

  • Use a non-personal computer
  • Download Tails over public wifi.or use vpn
  • Be sure to verify the CheckSum of the download.
  • Use Open/Public Wifi or when connected to vpn ONLY (though the later is risky)
  • Use an obfuscated Tor Bridge whenever you connect to Tor.
  • Purchase Bitcoin Anonymously
  • Tumble your Bitcoin correctly
  • Verify your vendor before purchasing.
  • Only use PGP encryption when messaging or emailing.

Purchasing

  • Order in small amounts
  • Never brag to friends or family about purchases. NO ONE, NO EXCEPTION
  • When you receive the package wait up to 1 Week before opening it.
kazi njema😂😂😂
 
Habarini wapendwa naomba kwa wale watalam je ni nini matumizi ya hichi kitu DARK WEB na kina faida gani kwenye simu maana nimejaribu kufatilia nimekutana na vitisho vingi sana nipeni mwongozo.
 
Habarini wapendwa naomba kwa wale watalam je ni nini matumizi ya hichi kitu DARK WEB na kina faida gani kwenye simu maana nimejaribu kufatilia nimekutana na vitisho vingi sana nipeni mwongozo.
Vitisho vip umekutan navyo??

Dark web n web Kama web pag nyingine ila ziko against na sheria

Kam unaweza fany biashar haramu , kina ngono za watt etc
Na access yake ni kupitia special web browser
 
Nmewahi kuingia uko.

Kuko poa sana,

Hasa hasa DarkMarket
(zamani ilkua ikiitwa Silk Road)

Biashara ziko huru sana, Kila kitu unapata bila Urasimu.

Vitu vinauzwa bei chee sana.

Hata ukihitaji Kifaru cha Jeshi UTAUZIWA tu bila Usumbufu wa aina yoyote.

KIKUBWA UWEZE KUFIKA BEI

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi zile account wanazoziuza za Bitcoin ni real au ndo upigwaji..?
 
Its a scam, don't fall for It. Dont do any exchange of money to money In a DW.. UTALIZWA.
Wazungu ni washenzi zaidi ya unavyojua.
Ni upigaji kiwango cha flyover. Dont fall for It bro.
Ahsante mkuu maana Kuna mahali niliona hiyo aisee inavutia sana.! Lakini ilinipa maswali mengi mno unatuma kitu ngoma inayumba..🤣
If it's real it's a fucking profit business!
 
Hahahah.. Hope now utakuwa makini.
Nilivyombishi sitaachia njiani hii ngoma..🤣
Ila nilichogundua kule Kuna upigaji mwingi watu wananjaa na hela tu kule! Everything is business na Bitcoin ndo inatumika sana kama njia ya malipo.

Kule njaa sana.
 
Na jeshi la marekani walitengeneza hiyo website wakiwa na lengo lao maalum the onion router(tor) nadhani waliamua iwe sehemu sahihi yakutafuta yote walioyakusudia
 
Kwenda huko co poa hata kidogo Kuna rafikiangu alizamia huko alichokutana nacho hatakaa asahau katika maisha yake yote.
Kwa macho Yale alishuhudia mtu anafanya sex na maiti,
Haikuishia hapo akashuhudia vedio ya binadam anachinjwa Kama anavyochinjwa kuku kusha akakatwa vipande vipande Kisha akapikwa watu wakala.
Mwengine alichukuliwa na kutupwa kwenye shimo la mamba huku wahusika wakiwa wanashuhudia akikatwa vipande vipande na mamba hao.
Si hayo tu alishuhudia mtoto mdogo wa miaka 9 anabakwa na baba yake mzazi pasipo na hata chembe ya huruma,mtoto huyo alikua anapiga kelele kutokana na maumivu makali anayopitia lakini hakupata msaada wowote Zaid ya kurecodiwa nanpicha zake kutupiwa Mtandaoni.

Katika akili ya kawaida unaweza dhani Kama Ni movie vile au Ni uongo sio kweli ila
Ukweli huko Kuna ukatili wa kutisha uliovuka mipaka sio sehem salama hata kidogo.
Unaweza kukutana na Mambo ambayo hayafikiriki katika akili ya mwanadam wa kawaida Ila watu wanayafanya bila aibu.
 
Umeshuhudia au umesimuliwa..

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom