Deep web/ Dark web unaijua? Na ushawahi kwenda huko na uliona nini huko

Kama Unaimani haba unaweza hisi Umetapeliwa.

Ila wafanyabiashara wa kule, asilimia kubwa ni waaminifu.

Mzigo ulinifikia salama salmini, sema tatizo Hata aliyeuleta Sikumuona.

MF:
Niliwahi agiza mzigo flani DarkMarket nikampa muuzaji Address yangu.

Baada ya Siku 5,
Nikiwa Online nikaona PM inaingia from Supplier kua mzigo tayari ushafika Tz- DSM

Nikaufate Posta Maeneo ya Apartment za YMCA

Baada ya kufika YMCA, Nkamjulisha kua Nmeshafika.

Ikaingia PM nyingine kua Niende BackYard nitaona Ndoo ya Njano, ndani yake ndio kuna mzigo.

Na Ni kweli niliukuta Mzigo.

Nlistuka sana, nlipomsimulia wife.

Akaogopa sana kua HUENDA nilikua nafanya biashara na Majini.

HII DUNIA YETU INA MENGI SANA YA KUSTAAJABISHA.

Hasa Hasa uaminifu aliouonyesha Supplier.

ILA KIUKWELI NILIFURAHI SANA KUUPATA MZIGO ULE.

NIKIPATA PESA NTAAGIZA MWINGINE TENA.

Sent using Jamii Forums mobile app
mzigo gani
 
Tovuti yangu pendwa ji Hidden wiki ila kuna siku niliingia ku search porn kiukweli ndo ukawa mwisho wangu wa kuingia kule mkuu nilichokiona .....dah!inasikitisha sana aiseee
 
Bila kusahau pesa zinazotumika ni CRYPTOCURRENCY

Uliona nini mkuu
 
Duh hatari sana
 
Habari wana jf bila kupoteza muda niende kwenye mada husika napenda tubadilishane mawazo kuhusu dubwasha hili kubwa ambalo linasemekana ni 90% ya internet duniani DARK WEB. Je umewahi kwenda kule? Ulienda kufanya nini,Uliona nini na uligundundua nini.

Nikianza na mimi nilipoenda kule nilienda nilitaka kuona tovuti iliyokuwa ikijulikana sana kwa kuuza madawa ya kulevya kwa jina (Silk road) nilitaka kujua hivi kweli mtu ametengeneza tovuti kama ebay ili auze dawa za kulevya lakini bahati mbaya nilikuta FBI wameiporomoa.
Cha pili niligundua kule kuna mijadala mikubwa na ya maana inayohusu masuala mbalimbali duniani bila udhibiti wowote hivyo inakuwa deep sana.
Nilikuta mitandao ya kijamii mingi kama facebook na notebook, nilitaka kujiunga facebook lakini wakaniomba email nikahairisha.
Ni vingi vya kushangaza kule kama vile wezi wa kukodishwa nk

Nilichogundua kingine unapoingia Deep web mtandao unakuwa chini hata kama unatumia kifaa cha kiwango cha juu.
Share pamoja nasi kile ukijuacho kuhusu deep web.

MAGA 2020
lazima nizame huko kabla siku haijaisha
 
Nipo mbioni kuagiza smG, nishachonga na supplier tayari
 
Duh hawa jamaa n hatar nlidhan haya mambo yakogo kwny movie tu kumbe mpaka huku live?

Back
Top Bottom