Deep web/ Dark web unaijua? Na ushawahi kwenda huko na uliona nini huko

Deep web/ Dark web unaijua? Na ushawahi kwenda huko na uliona nini huko

Ukiwa huko jilinde na matendo unayofanya maana FBI unapishana nao kila dakika huko lakini ukitenda kosa tu utakamatwa hata miaka ipite

MAGA 2020
 
s-l1000.jpg
ak-47-machine-gun.jpg
 
Kama Unaimani haba unaweza hisi Umetapeliwa.

Ila wafanyabiashara wa kule, asilimia kubwa ni waaminifu.

Mzigo ulinifikia salama salmini, sema tatizo Hata aliyeuleta Sikumuona.

MF:
Niliwahi agiza mzigo flani DarkMarket nikampa muuzaji Address yangu.

Baada ya Siku 5,
Nikiwa Online nikaona PM inaingia from Supplier kua mzigo tayari ushafika Tz- DSM

Nikaufate Posta Maeneo ya Apartment za YMCA

Baada ya kufika YMCA, Nkamjulisha kua Nmeshafika.

Ikaingia PM nyingine kua Niende BackYard nitaona Ndoo ya Njano, ndani yake ndio kuna mzigo.

Na Ni kweli niliukuta Mzigo.

Nlistuka sana, nlipomsimulia wife.

Akaogopa sana kua HUENDA nilikua nafanya biashara na Majini.

HII DUNIA YETU INA MENGI SANA YA KUSTAAJABISHA.

Hasa Hasa uaminifu aliouonyesha Supplier.

ILA KIUKWELI NILIFURAHI SANA KUUPATA MZIGO ULE.

NIKIPATA PESA NTAAGIZA MWINGINE TENA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dunia ina maajabu kweli hakuna ajuaye ukubwa wa dark web

MAGA 2020
 
Sasa unakipataje baada ya kulipia?
Nmewahi kuingia uko.

Kuko poa sana,

Hasa hasa DarkMarket
(zamani ilkua ikiitwa Silk Road)

Biashara ziko huru sana, Kila kitu unapata bila Urasimu.

Vitu vinauzwa bei chee sana.

Hata ukihitaji Kifaru cha Jeshi UTAUZIWA tu bila Usumbufu wa aina yoyote.

KIKUBWA UWEZE KUFIKA BEI

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Unaimani haba unaweza hisi Umetapeliwa.

Ila wafanyabiashara wa kule, asilimia kubwa ni waaminifu.

Mzigo ulinifikia salama salmini, sema tatizo Hata aliyeuleta Sikumuona.

MF:
Niliwahi agiza mzigo flani DarkMarket nikampa muuzaji Address yangu.

Baada ya Siku 5,
Nikiwa Online nikaona PM inaingia from Supplier kua mzigo tayari ushafika Tz- DSM

Nikaufate Posta Maeneo ya Apartment za YMCA

Baada ya kufika YMCA, Nkamjulisha kua Nmeshafika.

Ikaingia PM nyingine kua Niende BackYard nitaona Ndoo ya Njano, ndani yake ndio kuna mzigo.

Na Ni kweli niliukuta Mzigo.

Nlistuka sana, nlipomsimulia wife.

Akaogopa sana kua HUENDA nilikua nafanya biashara na Majini.

HII DUNIA YETU INA MENGI SANA YA KUSTAAJABISHA.

Hasa Hasa uaminifu aliouonyesha Supplier.

ILA KIUKWELI NILIFURAHI SANA KUUPATA MZIGO ULE.

NIKIPATA PESA NTAAGIZA MWINGINE TENA.

Sent using Jamii Forums mobile app

mbona kama kuna umovie flan ivi anyways Darkweb na Deepweb hukutanisha buyer na seller kwa usiri mkubwa sana watu wengi wanadonate na kusaidia sana ulimwengu ule ili kutunza siri kubwa na usalama kati ya mtumiaji ndani y Deepweb au Darkweb
 
Back
Top Bottom