Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 497
- 1,325
mambo ni moto
,, huo mzigo ulikuwa ni halali kabisa ??Kama Unaimani haba unaweza hisi Umetapeliwa.
Ila wafanyabiashara wa kule, asilimia kubwa ni waaminifu.
Mzigo ulinifikia salama salmini, sema tatizo Hata aliyeuleta Sikumuona.
MF:
Niliwahi agiza mzigo flani DarkMarket nikampa muuzaji Address yangu.
Baada ya Siku 5,
Nikiwa Online nikaona PM inaingia from Supplier kua mzigo tayari ushafika Tz- DSM
Nikaufate Posta Maeneo ya Apartment za YMCA
Baada ya kufika YMCA, Nkamjulisha kua Nmeshafika.
Ikaingia PM nyingine kua Niende BackYard nitaona Ndoo ya Njano, ndani yake ndio kuna mzigo.
Na Ni kweli niliukuta Mzigo.
Nlistuka sana, nlipomsimulia wife.
Akaogopa sana kua HUENDA nilikua nafanya biashara na Majini.
HII DUNIA YETU INA MENGI SANA YA KUSTAAJABISHA.
Hasa Hasa uaminifu aliouonyesha Supplier.
ILA KIUKWELI NILIFURAHI SANA KUUPATA MZIGO ULE.
NIKIPATA PESA NTAAGIZA MWINGINE TENA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kama lipi mkuu ebu nisaidie hata kwa kunipa mifanoUaminifu ni mkubwa sema usalama ni mdogo ukifanya kosa
kuingia kila sehemu (link) kwa wakati mmoja...watahisi kama wewe ni mtu wa usalamaKosa kama lipi mkuu ebu nisaidie hata kwa kunipa mifano
Wenye roho ngumu ndio huchochea maendeleo.......wenye roho ngumu ni binadamu kama weweKuna mambo dunia yaache yafanywe na wenye roho ngumu, huko siingii.
Wenye roho ngumu ndio huchochea maendeleo.......wenye roho ngumu ni binadamu kama wewe
Kosa kama lipi mkuu ebu nisaidie hata kwa kunipa mifano
Sasa alaf wakipataje!?Nmewahi kuingia uko.
Kuko poa sana,
Hasa hasa DarkMarket
(zamani ilkua ikiitwa Silk Road)
Biashara ziko huru sana, Kila kitu unapata bila Urasimu.
Vitu vinauzwa bei chee sana.
Hata ukihitaji Kifaru cha Jeshi UTAUZIWA tu bila Usumbufu wa aina yoyote.
KIKUBWA UWEZE KUFIKA BEI
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilicho fanikiwa ilikiwa ni kutengeza Account ya barua pepe, Ambayo naitumia kwa sasa;
Dark-web@cyber-wizard.com na Ant-snake@snakebite.com
Raha sana kuwa na address kama hizi. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ngoja nikupe maujanja!dah mkuu heb nsaidie na mm kupata mail ya dizain hii
Natamani sana niingie huko ninunue kitu cha 9mm na silencer
Izo legal issue bob, bongo kupata sheria kibaaaaoo hadi unachoka kbisaUna uhakika hauwezi ukapata hicho kitu Bongo, lazima ukafuate dark web?
Izo legal issue bob, bongo kupata sheria kibaaaaoo hadi unachoka kbisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sina mapango wa kufanyia matukio ni self-defenceBora uhangaike na hizo legal issues maana utaishi vipi nayo hapo Bongo, au unafikiria ni manati, ile tu ukishukiwa unacho utawaona wanageuza geuza defenda hapo kitaani kwako, huku wamevaa mavazi ya kikomando.
![]()